Ni ipi siri ya Wachaga kuwa kabila lililoyaacha makabila mengine mbali mno kwenye mafanikio?

Ni ipi siri ya Wachaga kuwa kabila lililoyaacha makabila mengine mbali mno kwenye mafanikio?

Bukoba ndo wilaya yenye asilimua kubwa ya watu wenye vipato mzee...
Hizo takwimu ni kutoka NBS...kagoogle kiwango cha umaskini ngazi ya wilaya...
Nyie mnapenda kuchukua mkoa mzima wa kageea wenye wilaya hata za biharamulo na ngara...chukua sehemu za wahaya pekee uone...

And you can prove this...tazama baadhi ya mitaa ya bukoba mjini.....wilaya yenye idadi ndogo ya maskini nchini...

View attachment 2696407View attachment 2696409View attachment 2696410View attachment 2696413View attachment 2696414View attachment 2696418View attachment 2696419View attachment 2696420
Leta takwimu zinazoeleweka nikuulize swali nipe source ya hizo takwimu ulizo-attach ugumu unatoka wapi

Data za nbs zinasema mkoa wa kagera uko mkiani kwa per capita na mkoa wa kagera unajumuisha wilaya ya bukoba
 
Tafuta takwimu za kiwilaya huko NBS....ingia kwenye website yao....so takwimu zinazoeleweka ni zile zisizo taja Bukoba sio?

Hata hizo takwimu za mikoa waliestimate population ya kagera kuwa 3.4 million 2021 wakati takwimu halisi ni 2.9m...watu laki tano hewa...

Naona umeanza kuchanganyikiwa sawa....

Haya mkapake Rangi majumba yenu huko moshi

Hii ni moshi...check slums zilizojaa moshi mnapojisifia mmeendelea...mkawekeze moshi sasa
JamiiForums-1345514952.jpg
 
Bukoba mjini na bukoba vijijini
Kwanin kwenye hizo takwimu zako kuna bukoba M namba moja na 11 huon kama ni za kupika
Ningetegemea kuwe na bukoba M na bukoba V
Pia hizo per capita sio kipimo halisi cha umaskini...tofautisha umaskini na uchache wa kipato...soma hapa..

Tafuta takwimu za kiwilaya huko NBS....ingia kwenye website yao....so takwimu zinazoeleweka ni zile zisizo taja Bukoba sio?

Hata hizo takwimu za mikoa waliestimate population ya kagera kuwa 3.4 million 2021 wakati takwimu halisi ni 2.9m...watu laki tano hewa...

Naona umeanza kuchanganyikiwa sawa....

Haya mkapake Rangi majumba yenu huko moshi

Hii ni moshi...check slums zilizojaa moshi mnapojisifia mmeendelea...mkawekeze moshi sasaView attachment 2696472
Kagera ndo mkoa maskin kuliko mikoa yote unashika mkia Kuna umaskin wa kutisha
 
Pia hizo per capita sio kipimo halisi cha umaskini...tofautisha umaskini na uchache wa kipato...soma hapa..

Kagera ndo mkoa maskin kuliko yote we endelea kutuma picha
 
Kagera ndo mkoa maskin kuliko mikoa yote unashika mkia Tanzania miji yote ni squatters hakuna mipango miji
Acha kupaniki mkuu....use your brain...use facts...

Na hii ndo tatizo lenu kuu wachaga...mkiona mnazidiwa au mkiambiwa ukweli mnapaniki....

Hakuna haja ya kupaniki hapa TZ bado ni least developed country...bado kuna kazi kubwa ya kufanya....
 
Tafuta takwimu za kiwilaya huko NBS....ingia kwenye website yao....so takwimu zinazoeleweka ni zile zisizo taja Bukoba sio?

Hata hizo takwimu za mikoa waliestimate population ya kagera kuwa 3.4 million 2021 wakati takwimu halisi ni 2.9m...watu laki tano hewa...

Naona umeanza kuchanganyikiwa sawa....

Haya mkapake Rangi majumba yenu huko moshi

Hii ni moshi...check slums zilizojaa moshi mnapojisifia mmeendelea...mkawekeze moshi sasaView attachment 2696472
Imagine huu mji ndo wanajiita the most developed tz hii....

2023 moshi iko hiv na imechakaaView attachment 2696505
Haufikii mkoa wa mwisho kwa kuwa na maskin wengi kagera yaan mmezidiwa mpaka na lindi, singida n.k
Endelea kutuletea picha usichoke ndo njia pekee ya kujitetea uliyobaki nayo
 
Mimi katika vitu nilikuwa siviwezi ni biashara na kuona fursa. Nikakutana na jamaa yangu mmoja kazini mchaga, aisee yule jamaa alibadilisha kabisa mtazamo wangu kimaisha na ndiye aliyeniingiza kwenye biashara for the first time. Pamoja na kuwa kazini kwa zaidi ya miaka 5 huyo jamaa tulianza biashara pamoja, joint venture, na kupitia hiyo biashara kwa mara ya kwanza niliweza kuwa na milioni 5 zangu mwenyewe kupitia hiyo biashara. Hawa jamaa acha kabisa..
Asante kwa appreciations, Kuna watu wakiona comment Yako wanajisonya
 
Kama ni hivyo basi wazaramo ndo jamii tajiri zaidi nchini....ikifuatiwa na wahehe...

Akili huna siku hiz...au mbege
Unajaribu kujifcha kwenye kichaka chá njugu
Mkoa WA Kagera ni WA kwanza kwa umaskin,WA 5 kwa utapiamlo HII haiwezi kutoka kwa cheap justification hyo.
Kwahyo mkoa Wenu ulivyo maskini unaeeza kuutofautishaje na jamii ya hko? MBna kwenye mambo mazuri unahusisha wahaya? Mabaya inakuwa no[emoji3][emoji3]
Akili za Ribisi hizi
 
Huyu Aliyeleta huu Uzi naona dish limeyumba! Kuna maendeleo gani huku Moshi? Wamesoma mkoa gani haujasoma? Wameendelea wakati Kuna nyumba za nyansi kama wengine! Wachaga ni kama free mason, hela zao ni za kuabudu mizimu, wizi, kubebana makazoni humu na dhuruma. Fuatilia sana ajira sasa hivi wanastukiwa sana.
Nipatie picha yoyote ya nyumba ya nyasi uchagan nitakupa million 4 bure
Uchagan yote hakuna MTU analala nyumba ya nyasi kwanza nyasi uipate wapi?
Usifikir uchagan kuna nÿumb za nyasi kama kwenu ilolanguru
Uchagan almost 95% Kila nyumba Ina umeme na maji,ndio maana takwimu za NBS zinautaja mkoa WA Kilimanjaro WA pili kwa makazi bora Baada ya dar
 
Leta takwimu zinazoeleweka nikuulize swali nipe source ya hizo takwimu ulizo-attach ugumu unatoka wapi

Data za nbs zinasema mkoa wa kagera uko mkiani kwa per capita na mkoa wa kagera unajumuisha wilaya ya bukoba
Hataki kabisa kusikia habari za mkoa[emoji3][emoji3]
MBONA Sisi Kilimanjaro tunajitaja kwa mkoa ?
 
Acha kupaniki mkuu....use your brain...use facts...

Na hii ndo tatizo lenu kuu wachaga...mkiona mnazidiwa au mkiambiwa ukweli mnapaniki....

Hakuna haja ya kupaniki hapa TZ bado ni least developed country...bado kuna kazi kubwa ya kufanya....
Endelea kujifariji
Lazma kuwe na WA kwanza na WA mwisho [emoji3]
Kagera ni mkoa WA kwanza kwa umaskin
 
Back
Top Bottom