Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Leta takwimu zinazoeleweka nikuulize swali nipe source ya hizo takwimu ulizo-attach ugumu unatoka wapiBukoba ndo wilaya yenye asilimua kubwa ya watu wenye vipato mzee...
Hizo takwimu ni kutoka NBS...kagoogle kiwango cha umaskini ngazi ya wilaya...
Nyie mnapenda kuchukua mkoa mzima wa kageea wenye wilaya hata za biharamulo na ngara...chukua sehemu za wahaya pekee uone...
And you can prove this...tazama baadhi ya mitaa ya bukoba mjini.....wilaya yenye idadi ndogo ya maskini nchini...
View attachment 2696407View attachment 2696409View attachment 2696410View attachment 2696413View attachment 2696414View attachment 2696418View attachment 2696419View attachment 2696420
Data za nbs zinasema mkoa wa kagera uko mkiani kwa per capita na mkoa wa kagera unajumuisha wilaya ya bukoba