Ni Jambo gani la ujasiri sana uliwahi kufanya mpaka leo ukikumbuka unafurahia na kujiona mwamba...

Ulivyoanza nilidhani mutamtisha jamaa kwakumwambia nyinyi ni askari au ndugu wa yule dem, au labda wanafunzi wenzake mmetumwa mumkamate
 
Kiukwel Sijui kama ni ujasiri nilianza kummega mama mtu baadae wanae mapacha wakajileta nikawagegeda wakapata mimba wote nikahama mkoa...kiukwel najiona kidume mpka Leo.
 
Kutangaza naskia njaa maana kuna mtu akaniambia natakiwa kusema "tumboni kwangu kuna uhaba wa chakula"

Team&$Uchochezi
 
Nilimfanya kitoweo mbwa wangu na kula masela mbwa-choma baada ya yule mbwa kunona sana halafu hata akipita mtu usiku habweki hadi naibiwa baiskeli za wanangu zilizolala nje siku moja kabla ya kumla (mbwa)
 
Niliwahi kumtorosha bibi harusi siku ya harusi aisee kaka zake walimtafuta balaa ila baada ya kuona maji yamefika shingoni nilimtelekeza nikatokemea kusikojulikana hapo ikiwa saa 7 mchana na saa 9 anapaswa kuondoka kwenda kwake kwa wale mliokulia vijijini nadhani mnafahamu sherehe za bush.Daa ilikuwa nooma sana na tukio lile liliisha kwa siri kubwa na bibi harusi alienda kwake kama kawaida na maisha yakaendelea
 
mimi nakumbuka nikiwa mdogo umri miaka 16 nilikutana na matapeli wanataka nitapeli ada kwa madawa yao Yale nikasanuka nikapiga kelele watu walijaa sitasahau kila siku najipongeza
 
Mimi ni shujaa wa muda wote, kila kitu nakifanya kwa ushujaa
 
Sio vizuriiiiiiii
 
Mimi najiona shujaa kwa kuweza kuanzisha uzi wa kumuambia joanah kua nampenda
 
Niliweka maisha yangu rehani nikajiingiza ktk moto ilihali nilijua yawezakua nikaungua ktk tukio hilo kufa au kupona ndio nilichagua, ktk kuhakikisha namsaidia rafkiangu kipenzi ili nirejeshe furaha yake nashukuru nilitoka salama japo hatukufanikiwa kila nikikumbuka hua najishangaa mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…