Ni jambo gani mtu akilisema unamuona kama ana samadi kichwani

"Nani kama mama"Yaani kumuona mama ni Bora kuliko baba ni ufala wa hali ya juu mnooo!
 
Salamaleko ☺️

Monetary doctor
 
Mbona korea ya kiduku ni hatari kweli hata marekani na dunia inajua...unajua kwa nini ukrain awajafanya figisu kwa kiduku japo kiduku kupeleka wapiganaji upande wa urussi ...ujasikia ugaidi wowote kutoka kwa Zelensky kuipigq hiyo korea
 
Nikisikia mtu anasema Mudi boy ni mtume 😁😁😁
 
Story za simba na yanga,,,,nakuwa nishatambua priority za muhusika hasa akiwa mkali,anatetea timu yake kwa hasira,na uzalendo

Natambua uyu mtu kichwani ni empty
 
Mama anatosha acha makasiriko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…