Ni jambo gani mtu akilisema unamuona kama ana samadi kichwani

Nikiona tu neno naishukuru serikali ya mama..najua hapo kichwani kumejaa kamasi tu
 
North Korea ni Taifa dume
Limekata demikrasia fake ya Magharibi
Uchumi wake upo juu
Hawatumii dollar 💵
 
Mbona korea ya kiduku ni harari kweli hata marekani na dunia inajua...unajua kwa nini ukrai awajafanya figisu kwa kiduku japo kiduku kupeleka wapiganaji upande wa urussi ...ujasikia ugaidi wowote kutoka kwa Zelensky kuipigq hiyo korea
Korea ya kiduku hawana uwezo mkubwa ila watu hawataki kuichokoza kwa sababu kiduku haoni tabu kurusha bomu la nyuklia na kukuangamiza tofauti na nchi kama Iran ambayo ina nyuklia nyingi kuliko north Korea lakini hawaitumii kwa sababu viongozi wao wana akili timamu.
 
Kusema No Reforms No Elections NI UPUNGUWANI
 
Ndiyo umeongea nini sasa ....hiyo ndiyo hatari yenyewe hata marekani athubutu kufanya ugaidi wa kuua viongozi wa hiyo nchi ...na kuhusu nuclear korea hiyo ilikuwa wanaiogopa hata kabla ya kumiliki nuclear....pia umejuaje kuwa Iran ana nuclear bomu?
 
Nikiona mtu ana judge wengine wakati yeye sio Mungu wala judge wa mahakama kuu hiyo nayo ni changamoto. Wakiamua kutiki october haikuhusu na haikupunguzii wali mezani, akiitukuza N. Korea nyamaza hujiulizi kwanini na ushirika wote wa Mmarekani na S. Korea, USA hajaivamia N.Korea ?...wakiijadili Simba na Yanga inakuhusu nini wewe ni nani kama hata Mo anajadili Usimba na Yanga wewe ni nani uumie kisichokuhusu ? Jifunze kuishi kwa kuvumiliana ukiona hauwezi chagua kuishi kwenye mwezi ila usiforce kufanana mitazamo kwani tofauti zetu ndio zinatuleta pamoja.
 
Ndiyo umeongea nini sasa ....hiyo ndiyo hatari yenyewe hata marekani athubutu kufanya ugaidi wa kuua viongozi wa hiyo nchi ...na kuhusu nuclear korea hiyo ilikuwa wanaiogopa hata kabla ya kumiliki nuclear....pia umejuaje kuwa Iran ana nuclear bomu?
Mkuu Korea hamna kitu ndo maana hata hashughulikiwi wala hakuna nchi inayomwaza, nchi tishio kwa marekani ni zile zile (Russia na Iran).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…