secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
- Thread starter
-
- #61
Je huyu mtu anayesema ntu badala ya mtu wewe unamweka kwenye kundi gani?Mtu anaechanganya "l" na "r" pia anaetumia "z" badala ya "dh"
Utasikia "hiri chungwa harina raza"
Kuwa na mawazo tofauti na ya kijinga ndiko kuwa na samadi kichwani.usiforce kufanana mitazamo kwani tofauti zetu ndio zinatuleta pamoja
Huyo ana samadi kidogo, kuna wale ndugu wanasema Maria awaombee wanasamadi nyingi+makobaz.Je huyu mtu anayesema ntu badala ya mtu wewe unamweka kwenye kundi gani?
Hapa unatafutwa ugomvi mkali na Monetary doctorkuna wale ndugu wanasema Maria awaombee wanasamadi nyingi+makobaz.
Hapo Iran iondoe ...tatizo lako wewe ni akili zako ndogo.....wewe unadhani iran ingeweza kupigana na korea ya kiduku ...korea ya kiduku inaogopwa hata na china na urussi ndiyo maana ilikuwa inawekewa vikwazo na hadi china na urussi tofauti na Iran iliyo kuwa inabanwa na NATO TUMkuu Korea hamna kitu ndo maana hata hashughulikiwi wala hakuna nchi inayomwaza, nchi tishio kwa marekani ni zile zile (Russia na Iran).
Aisee mimi Kahama.Sehemu moja huko kanda ya ziwa
October tunatikiNdugungu zangu katika imani!
1. Siku hizi nikiona mtu anaongelea usimba na uyanga namwona punguani.
2. Nikimwona mtu wangu wa karibu anaisifu Korea kaskazini kama nchi hatari duniani namwona hana ubongo bali samadi zimejaaa kumkichwa.
3. Nilimsikia mtu anasema October tunatiki nampeleka mirembe kwa gharama zangu.
4. Nikisikia mtu anasema "mitano tena" huwa napata moto.
Bye bye π
Korea kaskazini ni nchi ya kawaida sana lakini kiongozi wao (kiduku) hana akili timamu, ni mtu asiye na chembe ya busara ukiingia naye kwenye mtifuano Moja kwa Moja anakurushia makombora ya nyuklia kitu ambacho viongozi wa nchi zingine kama Iran hawafanyi japokuwa wana Vinu vingi vya nuclear.Hapo Iran iondoe ...tatizo lako wewe ni akili zako ndogo.....wewe unadhani iran ingeweza kupigana na korea ya kiduku ...korea ya kiduku inaogopwa hata na china na urussi ndiyo maana ilikuwa inawekewa vikwazo na hadi china na urussi tofauti na Iran iliyo kuwa inabanwa na NATO TU
Aache mara Moja kuidharau mbege π.Eti kuna mtu hapa anasema Mbege ni machicha yaliyochangamka..
huyu nae ni samadi huyu [emoji23]
Machawa wote kichwani wamejaza pamba.Ndugungu zangu katika imani!
1. Siku hizi nikiona mtu anaongelea usimba na uyanga namwona punguani.
2. Nikimwona mtu wangu wa karibu anaisifu Korea kaskazini kama nchi hatari duniani namwona hana ubongo bali samadi zimejaaa kumkichwa.
3. Nilimsikia mtu anasema October tunatiki nampeleka mirembe kwa gharama zangu.
4. Nikisikia mtu anasema "mitano tena" huwa napata moto.
Bye bye π
Mtu anayeulizaNdugungu zangu katika imani!
1. Siku hizi nikiona mtu anaongelea usimba na uyanga namwona punguani.
2. Nikimwona mtu wangu wa karibu anaisifu Korea kaskazini kama nchi hatari duniani namwona hana ubongo bali samadi zimejaaa kumkichwa.
3. Nilimsikia mtu anasema October tunatiki nampeleka mirembe kwa gharama zangu.
4. Nikisikia mtu anasema "mitano tena" huwa napata moto.
Bye bye π
ππππMtu anayeuliza
"Ni jambo gani mtu akilisema unamuona kama ana samadi kichwani"
Kwa akili hizi unazo miliki lazima wewe ni muislamu....korea na kiduku hawana busara wakati ile ni defensive mekanisim kutokana na uzito wa adui aliyenaye ...unajua korea ya kusini na kaskazini ni nchi moja ila ushenzi wa nchi za magharibi ndiyo umesababisha ziwe mbiliKorea kaskazini ni nchi ya kawaida sana lakini kiongozi wao (kiduku) hana akili timamu, ni mtu asiye na chembe ya busara ukiingia naye kwenye mtifuano Moja kwa Moja anakurushia makombora ya nyuklia kitu ambacho viongozi wa nchi zingine kama Iran hawafanyi japokuwa wana Vinu vingi vya nuclear.
Kim Jong Un ni kiongozi ambaye hana busara kama akina Ayatollah ambao wanamiliki nyuklia nyingi lakini hawazitumii ili Dunia iendelee kuwa salama.
Kwa akili hizi unazo miliki lazima wewe ni muislamu....korea na kiduku hawana busara wakati ile ni defensive mekanisim kutokana na uzito wa adui aliyenaye ...unajua korea ya kusini na kaskazini ni nchi moja ila ushenzi wa nchi za magharibi ndiyo umesababisha ziwe nchi mbiliKorea kaskazini ni nchi ya kawaida sana lakini kiongozi wao (kiduku) hana akili timamu, ni mtu asiye na chembe ya busara ukiingia naye kwenye mtifuano Moja kwa Moja anakurushia makombora ya nyuklia kitu ambacho viongozi wa nchi zingine kama Iran hawafanyi japokuwa wana Vinu vingi vya nuclear.
Kim Jong Un ni kiongozi ambaye hana busara kama akina Ayatollah ambao wanamiliki nyuklia nyingi lakini hawazitumii ili Dunia iendelee kuwa salama.
Kwanza kabisa mimi siyo mwislamu halafu tuelewane kitu kimoja.Kwa akili hizi unazo miliki lazima wewe ni muislamu....korea na kiduku hawana busara wakati ile ni defensive mekanisim kutokana na uzito wa adui aliyenaye ...unajua korea ya kusini na kaskazini ni nchi moja ila ushenzi wa nchi za magharibi ndiyo umesababisha ziwe mbili