Ni jambo gani mtu akilisema unamuona kama ana samadi kichwani

Nikisikia mtu anasema Mama samia mama mama hatukudai namuona πŸ’©πŸ’©
 
Korea ndiyo nchi hatari kuliko zote duniani kwa sasa japo uwezo wa siraha zake siyo kama marekani na urusi ...ukitaka kuingia vitani na hiyo nchi basi ukubali kupoteza askali wako hata milioni moja.
 
Korea ndiyo nchi hatari kuliko zote duniani kwa sasa japo uwezo wa siraha zake siyo kama marekani na urusi ...ukitaka kuingia vitani na hiyo nchi basi ukubali kupoteza askali wako hata milioni moja.
Yeah, Ina uwezo mdogo lakini mentality ya raisi wao asiyethamini uhai wa watu duniani ndio unaofanya watu waone watu kuwa na hofu.
 
Yeah, Ina uwezo mdogo lakini mentality ya raisi wao asiyethamini uhai wa watu duniani ndio unaofanya watu waone watu kuwa na hofu.
Wamarekani wanaua sana duniani hata damu inayo mwagika ukraini ni marekani na NATO ndiyo sababu nitajie kwa mwaka kiduku kaua wangapi duniani ...tumia akili nyinyi ndiyo wale wapumbavu mlio mpinga mzalendo JPM kwa kumuita dictator na kumshabikia samia na sasa mmejulikana kuwa amna akili
 
Mkuu mini ni shabiki mkubwa wa JPM, pia niko na Iran pale mashariki ya kati halafu mimi na Russia ni damu damu pia siyo kwamba nawachukia north Korea lakini nakasirika pale mtu anaposhindwa kutumia akili yake kwa kusema kuwa north Korea ndiyo nchi yenye kuogopwa na nchi zote. Na kwamba ina uwe mkubwa kineshi na kiteknolojia kuzidi nchi zinginezo.
 
Siyo sisi tunao sema ni hao hao wanao mpinga north korea wao ndiyo wanao mtambua kuwa ni nchi hatari zaidi ...kwenye vitabu vya marekani ndivyo walivyo muweka hivyo ... siyo mimi .....kama korea ni dhaifu mbona marekani ajawai kurusha hata kokoto toka huyo mkorea alipo kuwa ajamiliki siraha za nuclea waulize wamarekani kuusu jamii za macho madogo kwenye vita ni hatari ndiyo maana marekani aliogopa kupigana na japani akaona atumie nuclear bomb
 
Mtu anasema tuna tume huru ya uchaguzi
 
Hahahah πŸ˜‚πŸ€£.
Sina neno.
 
No reform no election
 
Nikishaona mtu kasema β€œMama Anatosha Mama katufikia, gentleman πŸ’β€ Naona tu kabisa uyu ni hamnazo empty set.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…