Ni jambo gani, sasa unaliamini tofauti kabisa na vile ulivyokuwa ukiliamini kabla hujawa mtu mzima?

Ni jambo gani, sasa unaliamini tofauti kabisa na vile ulivyokuwa ukiliamini kabla hujawa mtu mzima?

Wakuu natumaini mu wazima wa afya,....

Katika maisha, binadamu tumekuwa watu wa kujifunza mambo mbali mbali kila siku, hali inayopelekea WATU kubadili mitazamo na baadhi ya imani pale inapobidi,...

Kwangu mimi , nilipokuwa mtoto, nilikuwa nikiwaona WATU WAZIMA wakiongea PEKE YAO njiani, basi niliwashangaa sana na pengine kuwaona kama watu waliochanganyikiwa, lakini kwasasa MTAZAMO wangu huo umebadilika kabisa, badala yake NAJIULIZA, ni nini SIRI YA WATU WAZIMA AMBAO HAWAONGEI NJIANI PEKE YAO PAMOJA NA MAGUMU YOTE HAYA TUNAYOPITIA?

Leo katika pita pita zangu mtaani nikielekea kazini, kama unavyojua tena wengine hatuna weekend wala likizo,...nikamuona mtu mmoja kwa mbali akija uelekeo wangu, alikuwa mwanaume wa kama miaka 40's alikuwa smart kiasi, LAKINI ,alikuwa akiongea peke yake, basi ikabidi nimpishe tu kwa TAHADHARI, maana wakina sisi wengine hadi NGUMI na hata MATEKE huwa tunarusha..😂😂

#maisha🙌🙌
Mi nilikua naamini kweli mapadri hawatombi na masista hawatom.bwi,kumbeeee
 
Hivi uko serious kweli?,. Maana unazungumzia hili suala mara nyingi kama sijakosea uliwahi kuanzishia thread pia miaka ya zamani
So ni kana kwamba huamini kuwa mzabzab nipo kwa grid ya taifa ama vipi?
Mbona wengintuu humu jf wanajua mie ni hiv+
 
Ila kama ungekuwa wa kike ungepata fursa..
Yapi yalikukuta..

Pole mkuu
nilikuwa chimbo huko, nikaumwa, nikatumia hela zote kwenye matibabu na msosi.. kabla hata sijapona ninakochimba dhahabu zikakata, watu wakapoteana nikabaki mwenyewe sina wa kunipa support,.....mbona mgonjwa nilisimama na njaa yangu kutafuta mahali pa kuchimba , nilipopata, nilishusha sululu na nyundo zaidi ya mwezi mzima ndo nakuja ambulia hela japo ya kifutia jasho, muda wote huo usiulize nakula nini, na nakula wapi? hakuna anayetaka kujua, kinachotakiwa ni kazi ifanyike......kwa ufupi njaa haina adabu🙌🙌
 
Dah nakusikitia sana kwa yaliyokukuta ..
Ila saizi najua ushajipata maana umepitia kipindi kigumu afu hukuwa na support yoyote
 
Dah nakusikitia sana kwa yaliyokukuta ..
Ila saizi najua ushajipata maana umepitia kipindi kigumu afu hukuwa na support yoyote
angalau nina uhakika wa kula, hata miezi mitatu ijayo,....kwa ufupi changamoto tunazopitia huwa zinatufunza beyond expection...
 
Nilikua najua nesi ni mwanamke Dokta ni mwanaume
...
Nilikua najua kupiga kura ni kula msosi nilivokua naona wanadumbukiza vikaratasi nadhani ndio wanatoa mchango wa msosi haha childhood imagination bhana
 
angalau nina uhakika wa kula, hata miezi mitatu ijayo,....kwa ufupi changamoto tunazopitia huwa zinatufunza beyond expection..
Jambo la heri ...
Hapo kwenye changamoto umejifunza kipi
 
Back
Top Bottom