Qashy Lilith
JF-Expert Member
- Aug 30, 2024
- 1,508
- 2,965
Tatizo lilikuwepo kwenye kutofautisha kura na kula😅Nilikua najua nesi ni mwanamke Dokta ni mwanaume
...
Nilikua najua kupiga kura ni kula msosi nilivokua naona wanadumbukiza vikaratasi nadhani ndio wanatoa mchango wa msosi haha childhood imagination bhana