Ni jambo gani, sasa unaliamini tofauti kabisa na vile ulivyokuwa ukiliamini kabla hujawa mtu mzima?

Mi nilikua naamini kweli mapadri hawatombi na masista hawatom.bwi,kumbeeee
 
Asante ndio maisha hayo...tuliambiwa tuache umalaya lakini tukawa tunajibu mbususu tamu, wacha hiv itukomeshe
Hivi uko serious kweli?,. Maana unazungumzia hili suala mara nyingi kama sijakosea uliwahi kuanzishia thread pia miaka ya zamani
 
Hivi uko serious kweli?,. Maana unazungumzia hili suala mara nyingi kama sijakosea uliwahi kuanzishia thread pia miaka ya zamani
So ni kana kwamba huamini kuwa mzabzab nipo kwa grid ya taifa ama vipi?
Mbona wengintuu humu jf wanajua mie ni hiv+
 
Ila kama ungekuwa wa kike ungepata fursa..
Yapi yalikukuta..

Pole mkuu
nilikuwa chimbo huko, nikaumwa, nikatumia hela zote kwenye matibabu na msosi.. kabla hata sijapona ninakochimba dhahabu zikakata, watu wakapoteana nikabaki mwenyewe sina wa kunipa support,.....mbona mgonjwa nilisimama na njaa yangu kutafuta mahali pa kuchimba , nilipopata, nilishusha sululu na nyundo zaidi ya mwezi mzima ndo nakuja ambulia hela japo ya kifutia jasho, muda wote huo usiulize nakula nini, na nakula wapi? hakuna anayetaka kujua, kinachotakiwa ni kazi ifanyike......kwa ufupi njaa haina adabuπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Dah nakusikitia sana kwa yaliyokukuta ..
Ila saizi najua ushajipata maana umepitia kipindi kigumu afu hukuwa na support yoyote
 
Dah nakusikitia sana kwa yaliyokukuta ..
Ila saizi najua ushajipata maana umepitia kipindi kigumu afu hukuwa na support yoyote
angalau nina uhakika wa kula, hata miezi mitatu ijayo,....kwa ufupi changamoto tunazopitia huwa zinatufunza beyond expection...
 
Nilipoingia labour ward na kuona mwanamke akijifungua ndio nikaelewa lile andiko la MWANZO

"Mwanamke atazaa kwa uchungu"

Poleni sana
Uchungu wote huo bado unakuta mwanamke anazaa na mwanaume asiye mume wake anakuwa single mom WTF!
 
Nilikua najua nesi ni mwanamke Dokta ni mwanaume
...
Nilikua najua kupiga kura ni kula msosi nilivokua naona wanadumbukiza vikaratasi nadhani ndio wanatoa mchango wa msosi haha childhood imagination bhana
 
angalau nina uhakika wa kula, hata miezi mitatu ijayo,....kwa ufupi changamoto tunazopitia huwa zinatufunza beyond expection..
Jambo la heri ...
Hapo kwenye changamoto umejifunza kipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…