Ni jambo gani, sasa unaliamini tofauti kabisa na vile ulivyokuwa ukiliamini kabla hujawa mtu mzima?

Nilikua najua nesi ni mwanamke Dokta ni mwanaume
...
Nilikua najua kupiga kura ni kula msosi nilivokua naona wanadumbukiza vikaratasi nadhani ndio wanatoa mchango wa msosi haha childhood imagination bhana
Tatizo lilikuwepo kwenye kutofautisha kura na kulaπŸ˜…
 
Nilijua kua ukisha oa unakua unaichakata kila siku tu,

Kumbe kuna kuiomba tena!
 
usicheke mkuu yaani hadi unamwangalia mara 2 anajiamin nn kukufanyia ivo
Relationship nazipa respect kuna vitu nilijigamba siwezi kufanya ila nilipojaa kwenye 4-4-2 hata sitaki kukumbuka
 
Relationship nazipa respect kuna vitu nilijigamba siwezi kufanya ila nilipojaa kwenye 4-4-2 hata sitaki kukumbuka
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ
 
Nilikua najua nesi ni mwanamke Dokta ni mwanaume
...
Nilikua najua kupiga kura ni kula msosi nilivokua naona wanadumbukiza vikaratasi nadhani ndio wanatoa mchango wa msosi haha childhood imagination bhana
Mimi mpaka leo akilini nawaza kuwa nesi ni mwanamke tu na utu uzima wangu huu,ila pia sio mtu wa kwenda hosp may be ndio sababu.
 
Nilikuwa naamini kuna kwenda Mbinguni, Mungu yupo, sijui stori za Malaika wake kumbe ni hadithi za kipumbavu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…