Ni jambo gani watu wanalifanya sana lakini wewe huwezi?

Tembosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
5,037
Reaction score
4,932
Tuende sawa.
Kuna baadhi ya mambo ni ya kawaida na yanafanyika kila siku lakini wewe huwezi au hujui namna yakufanya...
Mfano mimi;
1. Zile ngazi mwendo(escalators)siwezi kuzitumia, na sizitumii hata iweje...Siwezi.

2. Kula wali /pilau na ndizi mbivu kwa wakati mmoja....Siwezi.

3. Kumsimamisha mwanamke barabarani/kuomba namba, nilishashindwa....

Tuendelee...
 
Mpaka una post jukwaa la habari na hoja mchanganyiko, Je, hii ni habari au hoja??
 
Back
Top Bottom