hakuna kitu kama hichoHujakutanishwa...
Aisee siwezi kula miguu na kichwa cha kuku hata ushikie kisu..Tuende sawa.
Kuna baadhi ya mambo ni ya kawaida na yanafanyika kila siku lakini wewe huwezi au hujui namna yakufanya...
Mfano mimi;
1. Zile ngazi mwendo(escalators)siwezi kuzitumia, na sizitumii hata iweje...Siwezi.
2. Kula wali /pilau na ndizi mbivu kwa wakati mmoja....Siwezi.
3. Kumsimamisha mwanamke barabarani/kuomba namba, nilishashindwa....
Tuendelee...
Ntaacha nikifaHiyo wengi hawajaweza.
Na wewe Hutaweza. 🤣
Kabisa Toka kuzaliwa kwangu,Hujawahi kwenda kabisa?
Mkuu hiyo style huwa naijaribu ila nashindwa aiseeee!!Nimecheka sana aisee