Na fanta orange ya baridi😹Kuacha kula Chips yai Kuku
Karibunaitaji mazungumzo na wewe kiundani
😅😅😅wengine hawapendi 😅😅Na fanta orange ya baridi😹
Ice cream za Azam mia tano tu 😹😅😅😅wengine hawapendi 😅😅
True True!!Siwezi kunywa maji moja kwa moja yaani ile unaweka glass au chupa mdomoni for a while maji yaishe sijawahi kuweza aisee,.
Na kila mtu ananishangaaga na sijui kwanini siwezi na nyie mnawezaje kwanza huwa naona kama nabanwa pumzi
Kuuza nyumba yangu niweke mtaji wote kwenye biashara!Tuende sawa.
Kuna baadhi ya mambo ni ya kawaida na yanafanyika kila siku lakini wewe huwezi au hujui namna yakufanya...
Mfano mimi;
1. Zile ngazi mwendo(escalators)siwezi kuzitumia, na sizitumii hata iweje...Siwezi.
2. Kula wali /pilau na ndizi mbivu kwa wakati mmoja....Siwezi.
3. Kumsimamisha mwanamke barabarani/kuomba namba, nilishashindwa....
Tuendelee...