Kuendeshwa na kupelekeshwa na mwanaume SIWEZIKuendeshwa na kupelekeshwa na mwanamke SIWEZI
Kwahy hapo huna boss boss ni we mwenywKuwa chini ya mtu yeyote.
😂😂😂😂😂 We mtu ni comedy sana aiseeeKuanza speech kwa kusema "awali ya yote namshukuru Mnyazi Mungu blah blah..."
Mweeee...wazee wa futiboli hao kila intavyuuuu ni namshukuru mnya,i munguKuanza speech kwa kusema "awali ya yote namshukuru Mnyazi Mungu blah blah..."
Kuvaa t-shirt na kofia ya ccm aisee hapana siweziTuende sawa.
Kuna baadhi ya mambo ni ya kawaida na yanafanyika kila siku lakini wewe huwezi au hujui namna yakufanya...
Mfano mimi;
1. Zile ngazi mwendo(escalators)siwezi kuzitumia, na sizitumii hata iweje...Siwezi.
2. Kula wali /pilau na ndizi mbivu kwa wakati mmoja....Siwezi.
3. Kumsimamisha mwanamke barabarani/kuomba namba, nilishashindwa....
Tuendelee...
kabisaKuendeshwa na kupelekeshwa na mwanaume SIWEZI
mkuu mi hata wife analijua hilo mi huwa sibabaishi,uhangaike kutafta pesa,uhangaikie na mapenzi?Jipe muda mkuu
Rula 😂😂😂😂mkuu mi hata wife analijua hilo mi huwa sibabaishi,uhangaike kutafta pesa,uhangaikie na mapenzi?
Kule juu umeanz vzr tuu ila huku naona umeanza kuaribu aiseeKulomba mishangazi