Mpaka una post jukwaa la habari na hoja mchanganyiko, Je, hii ni habari au hoja??Tuende sawa.
Kuna baadhi ya mambo ni ya kawaida na yanafanyika kila siku lakini wewe huwezi au hujui namna yakufanya...
Mfano mimi;
1. Zile ngazi mwendo(escalators)siwezi kuzitumia, na sizitumii hata iweje...Siwezi.
2. Kula wali /pilau na ndizi mbivu kwa wakati mmoja....Siwezi.
3. Kumsimamisha mwanamke barabarani/kuomba namba, nilishashindwa....
Tuendelee...
kumradhi!pichani ni wewe binti yanguKujibu huu Uzi 😹😹🙌🏾
Na bado umejibu Ana 🤣 🤣 🤣Kujibu huu Uzi 😹😹🙌🏾
Mallerina njoo, kumbe alikua anakudanganya tu!Kupenda me nimeshindwa wakuu mapenzi yafutwe
#Kataa Ndoa
#Ndoa ni Utapeli
Acha tu😹🙌🏾Na bado umejibu Ana 🤣 🤣 🤣
Ndugu yangu☺️kumradhi!pichani ni wewe binti yangu
naitaji mazungumzo na wewe kiundaniNdugu yangu☺️