Putin17
JF-Expert Member
- Mar 17, 2025
- 339
- 585
😂Una watoto wangapi sasa hivi?
😂Una watoto wangapi sasa hivi?
🤣🤣 hata mimi niliishi bila gonjwa la zinaa kwa muda mrefu.Huyu wa kinga ni mimi kabisa, ila nashukuru sijawahi kupata magonjwa ya zinaa, nadhani hiki kibamia ni mkombozi.
Nje ya mkeo, kwa michepuko napo unamwagiaga ndani?watoto wawili tu, na sina mtoto wa nje ya ndoa.
Mimi pia... Kiufupi Hobby yangu ni Movies lakini siyo zilizotafsiriwa kiswahili.Aisee.
Mimi kutazama zile movie zilizotafsiriwa kwa Kiswahili.
Hasa za action...Siwezi.
Sijawahi hata kutest, na naona ndio formula yangu ya mahusiano tukimalizana sirudi ng'oHata mkirudiana haviwi kama zamani, yaani hata mjitahidi vipi.
Hii hata mimi nimeishindwa movie hata iwe nzuri vipi ikishatafsiriwa na hawa waswahili wa Azam basi kwangu haina ladha tena, nazionaga km comedy tuAisee.
Mimi kutazama zile movie zilizotafsiriwa kwa Kiswahili.
Hasa za action...Siwezi.
Ikitokea amekuteua utakataa au sio?😄Kuwa mteule wa SSH kwan,a ni aibu
KUBETTuende sawa.
Kuna baadhi ya mambo ni ya kawaida na yanafanyika kila siku lakini wewe huwezi au hujui namna yakufanya...
Mfano mimi;
1. Zile ngazi mwendo(escalators)siwezi kuzitumia, na sizitumii hata iweje...Siwezi.
2. Kula wali /pilau na ndizi mbivu kwa wakati mmoja....Siwezi.
3. Kumsimamisha mwanamke barabarani/kuomba namba, nilishashindwa....
Tuendelee...
Haitatokea hiyo kwani sijajiunga na praise and worship yake.Ikitokea amekuteua utakataa au sio?😄
Ni mama yangu?Dah! Labda kama ubaki na mke mmoja
Hongera Mkuu. Naona haupo tayari kuiuza nafsi yako kwa vipande vya fedha. Uishi milele🙏Haitatokea hiyo kwani sijajiunga na praise and worship yake.
Hivyo ni ngumu kuniona
Ni ujinga kumtegemea binadamu mwenye miaka isiyoeleweka ya kuishiHongera Mkuu. Naona haupo tayari kuiuza nafsi yako kwa vipande vya fedha. Uishi milele🙏
Hujui usemaloYou sound like unatamani eeh!!