StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 7,043
- 8,478
Hata ukiwa mteule wake?😄Kumshukuru SSH
hili siwezi hata nichapwe kwa nyaya za umeme
Hata ukiwa mteule wake?😄Kumshukuru SSH
hili siwezi hata nichapwe kwa nyaya za umeme
Kuacha kutumia kinga haimaanishi kupata magono. Nikuacha ngono zembe. Mimi situmiee kinga, ila sinaga ngono zembe zembwKuna mshikaji alishashindwa kutumia kinga, magono kila mara ni yake
Hata mkirudiana haviwi kama zamani, yaani hata mjitahidi vipi.Kurudiana na ex,,
Kukemea mapepo kwa kukausha SAUTI yangu ya thamani wakati Mapepo yenyewe yanajua fika mamlaka niliyo nayo, SIWEZITuende sawa.
Kuna baadhi ya mambo ni ya kawaida na yanafanyika kila siku lakini wewe huwezi au hujui namna yakufanya...
Mfano mimi;
1. Zile ngazi mwendo(escalators)siwezi kuzitumia, na sizitumii hata iweje...Siwezi.
2. Kula wali /pilau na ndizi mbivu kwa wakati mmoja....Siwezi.
3. Kumsimamisha mwanamke barabarani/kuomba namba, nilishashindwa....
Tuendelee...
Kuwa mteule wa SSH kwan,a ni aibuHata ukiwa mteule wake?😄
😂😂😂Sijaelewa hata ulichoongea…
Na mwanaume kuwa na mwanamke mmoja ni tatizo iloDah! Labda kama ubaki na mke mmoja
Maisha ya kina mzee Mwakibolwa hayo ila mizinga sasa haoni kelele maisha haya dah.Mi maeneo yote yenye kelele au msongamano wa watu niko allergic nayo sana mfano mikutano ya siasa, mbio za mwenge, maonyesho yoyote mfano ya nane nane au sabasaba, matamasha yoyote mfano ya injili pia kwenda viwanjani au vibanda umiza kuangalia mpira.Huwa napata wakati mgumu sana kwenda sokoni au stendi.
Kwa ujumla mi na kelele mbali kabisa, hata humu niishipo sina tv , sab woofer wala radio, Smartphone kwangu ndo kila kitu
Kweli Mkuu,Mapepo yanatishwa na uthabiti wa Imani ya mtu katika Kristo Yesu siyo kuyafokea!😄Nimecheka sana 🤣🤣🤣
Kama unamilik dildo kamwe hutapelekeshwa namwanaume sio vinginevyoKuendeshwa na kupelekeshwa na mwanaume SIWEZI
Wewe utakuwa ni aina ya watu wanaozingatia mambo ya muhimu zaidi.Sina tabia ya kutanguliza shukrani kwa mtu nikipewa nafasi naenda kwenye hoja moja kwa moja
😂😂😂Ila mdomo unatoa au sio!?
Una watoto wangapi sasa hivi?kumwaga nje hapana, mimi wazungu ndani.
watoto wawili tu, na sina mtoto wa nje ya ndoa.Una watoto wangapi sasa hivi?