Hapanaa.Wee mzagamuano ni basic need
Kule kukubali kumvulia mwanamke au mwanaume ni kuendeshwa a tayari.Sijaelewa hata ulichoongea…
Wee em sema kweli?Ndio hivyo, ni dawa ya hasira na visirani.
Usiache kupigwa hiyo mambo
Ulijipiamga sioNdio ndio,na likazi lao niliachaga kwa hasira na dharau baada ya kuniletea za kuleteana.
Em apia!Ndio hivyo.
Haha japo sijaelewaUlijipiamga sio
Shirika la kizungu liliharibiwa na kamtandao lka waswahiliWahindi wabaya sana
Mi maeneo yote yenye kelele au msongamano wa watu niko allergic nayo sana mfano mikutano ya siasa, mbio za mwenge, maonyesho yoyote mfano ya nane nane au sabasaba, matamasha yoyote mfano ya injili pia kwenda viwanjani au vibanda umiza kuangalia mpira.Huwa napata wakati mgumu sana kwenda sokoni au stendi.Nishawahi kwenda club ... Nilishangaa sana
Naona watu wanafurahia kukaa kwenye makelele
Nilishangaa sanaaa, nilishangaa mnooo!
Napenda sana ukimya na utulivu
Ulijipanga ukaachaHaha japo sijaelewa
Niliacha bila kujipanga mpaka leo naendelea kujipanga Toka 2019.Nilipoacha walinuna.Ulijipanga ukaacha
Duh poleNiliacha bila kujipanga mpaka leo naendelea kujipanga Toka 2019.Nilipoacha walinuna.
Asante,mpaka leo yananitafuta ila niliweka chuki kubwa sana na Wana wa adamu.Duh pole