Ni jambo gani watu wanalifanya sana lakini wewe huwezi?

Kusema Shikamoo fulani yaani kuna ile watu wanasema Shikamo Mama au Baba mi sijawahi kuiweza naishia shikamoo.
 
Aisee.
Mimi kutazama zile movie zilizotafsiriwa kwa Kiswahili.
Hasa za action...Siwezi.
Hii hata mimi nimeishindwa movie hata iwe nzuri vipi ikishatafsiriwa na hawa waswahili wa Azam basi kwangu haina ladha tena, nazionaga km comedy tu
 
KUBET
 
Hii hata mimi nimeishindwa movie hata iwe nzuri vipi ikishatafsiriwa na hawa waswahili wa Azam basi kwangu haina ladha tena, nazionaga km comedy tu
Oh! Mimi nilimaanisha wale kina Lufufu type
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…