Ni jambo jema Afrika Kusini kuwapokea wapalestina ila kuna siku mtajuta

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Kutokana na historia ya Palestina kila wanapokaribishwa na kupewa uhuru hujikuta wao ndio wanataka kuamrisha wenyeji na kutaka kutawala wao.

Historia zimeandikwa nyingi sana kuhusu hawa.

Hawa walitakiwa kumegewa eneo wakawa na taifa lao ili wafanye wanavyotaka sio kuwaingiza kwenye nchi.

Nachojiuliza mbona Iran hajawaweka kwake.
 
Kama ilivyo kwa wayahudi, kila sehemu walopewa wakataka kulazimisha mila zao wakafukuzwa na kupewa sehemu ya kuishi hapo Palestina na kuwafukuza wenyeji
Wapalestina wapo wengi Lebanon, Jordan, Misri na nchi nyingi za Kiarabu na Ulaya na US pia
Iran sio waarabu
Unapajua Sinza Palestina
Unajua kwanini panaitwa hivyo?
 
unapafahamu magomeni Argentina
unapafahamu Temeke sudani.
unapafahamu Bomu bomu kijiwe sami.

Unajua kwa nini panaitwa hivyo?
 
Kutokana na historia ya Palestina kila wanapokaribishwa na kupewa uhuru hujikuta wao ndio wanataka kuamrisha wenyeji na kutaka kutawala wao.

Historia zimeandikwa nyingi sana kuhusu hawa.

Hawa walitakiwa kumegewa eneo wakawa na taifa lao ili wafanye wanavyotaka sio kuwaingiza kwenye nchi.

Nachojiuliza mbona Iran hajawaweka kwake.
Acha kulishwa propaganda, mbona wapo kibao tu Argentina na Chile huko umewahi sikia wanajilipua au kupindua nchi?

Experience ya Jordan ni exception, but vipi kwa wayahudi niambie ni nchi ngapi wakienda wanataka kuzicontrol wao? Ona marekani mpaka bunge na seneti wao ndio wanatoa mabilioni kupitia AIPAC ili sera zao ndio zipitishwe. Same can be said kwa nchi karibu zote za ulaya!! Ila mnaona ni halali tu.
 
Kuna sehemu nimekwambia kujilipua au wewe ndio umesema.Mimi na wewe nani analeta propaganda.
kwani historia zilizowekwa hapa JF ujasoma.
 
Historia za JF? Ndio zipi hizo? Hizi za propaganda mnazoweka hapa!! Hujui nchi ngapi wayahudi walijaribu kupindua ila unakuja kulalamika kuhusu palestina upo serious kweli?

Acheni brainwashing, hao wayahudi ndio wana interfere sana na foreign governments kuliko nchi yoyote hapa duniani. Hakuna nchi hapa duniani hao jamaa hawajainfiltrate ili kupenyeza agenda zao.
 
Kama ilivyo kwa wayahudi, kila sehemu walopewa wakataka kulazimisha mila zao wakafukuzwa na kupewa sehemu ya kuishi hapo Palestina na kuwafukuza wenyeji
Wapalestina wapo wengi Lebanon, Jordan, Misri na nchi nyingi za Kiarabu na Ulaya na US pia
Iran sio waarabu
Unapajua Sinza Palestina
Unajua kwanini panaitwa hivyo?
mkuu samahan kama hapo middle east waisrael au wayahudi walipewa hifadhi je unaweza ukanambia hao wayahudi tunaowasoma kwny BIBLIA NA KURAN na history mbalimbali je walikuwa wanaishi wapi kpnd hcho wanazungumziwa kwny vitabu vya kidini tn inaonekana wkt huo hata YESU hakuwa ameshakuja dunian wala muhamad hakuwepo duniani je watu hao walikuwa wanaishi wp sasa kama hapo walipo wamepewa hifadhi tu usnambie kwmb hao n mamluki nataka unambie wale og unaowajua walikuwa wp enz hzo na wako wp?
 
Wana mentality mbovu sana wale watu, walikaribishwa Lebanon wakawa wanashiriki siasa za nchi kana kwamba ni wazawa asilia kumbe ni wakimbizi tu. Ulaya, Amerika, Australia wakikaribishwa hawaachi asili yao ya ugaidi. Hawa kiboko yao ni waislam wenzao wa mataifa ya kiarabu waende huko wakachuane na wa imani yao
 
Kutokana na historia ya Palestina kila wanapokaribishwa na kupewa uhuru hujikuta wao ndio wanataka kuamrisha wenyeji na kutaka kutawala wao.

Historia zimeandikwa nyingi sana kuhusu hawa.

Hawa walitakiwa kumegewa eneo wakawa na taifa lao ili wafanye wanavyotaka sio kuwaingiza kwenye nchi.

Nachojiuliza mbona Iran hajawaweka kwake.
Embu muwe mnazungumza mnachofahamu. Ficha ujinga wako.
Iran kuna malaki ya wapalestina,Jordan kuna maelfu ya Palestines,South America kuna malaki ya Palestines,USA kuna malaki ya Palestines,Sweden, Finland, Australia. Je huko umesikia Wapalestina wakifanya vurugu zozote!???
Lete ushahidi ni nchi gani wapalestina walikaribishwa wakawageukia wenyeji!??
 
Back
Top Bottom