Ni jambo jema Afrika Kusini kuwapokea wapalestina ila kuna siku mtajuta

Ni jambo jema Afrika Kusini kuwapokea wapalestina ila kuna siku mtajuta

Mwanzo 14 inataja falme hizo. Sodom, Gomorrah, Admah, Zebolim, na Zoar haya maeneo ni Israel/Jordan ya sasa. Kumbuka mataifa ya zamani yalikua city states unakuta kila mji ni ufalme unajitegemea sio mfumo wa nchi kama sasa unless ni empire kubwa kidogo. Hata Jerusalem ambao ni mji mkuu wa israel ya leo, biblia inamtaja Melchizedek kama mfalme wa eneo lile na hata Abraham alimsujudia.
Melkizedek hakuwa na baba wala mama, wala hana mwanzo wala mwisho wa kutawala kwake.

Mungu mwenyewe ndiye alikuwa mfalme wa Salemu not Jerusalem kama ulivyosema.

Conclusion ni kuwa, Melkizedek ndiye Mungu mwenyewe aliyepokea sadaka za Ibrahimu na ndiye aliyempa Ibrahim hiyo nchi.
 
Melkizedek hakuwa na baba wala mama, wala hana mwanzo wala mwisho wa kutawala kwake.

Mungu mwenyewe ndiye alikuwa mfalme wa Salemu not Jerusalem kama ulivyosema.

Conclusion ni kuwa, Melkizedek ndiye Mungu mwenyewe aliyepokea sadaka za Ibrahimu na ndiye aliyempa Ibrahim hiyo nchi.
Hayo ya melchizedek nayafahamu na nilishaandika uzi humu so hakuna kipya utasema

Hapo Nimeongelea miji zaidi ya mitano unaweza niambia hiyo yote nayo imeenda wapi? Au na yenyewe ni ya kiroho? Au Salem pekee ndio tutafsiri kiroho ila Sodom, Gomorrah, Admah, Zebolim, na Zoar tutafsiri kimwili?
 
Magaidi ni waislamu, wazee wa kujitoa muhanga. Hujiulizi kwanini Iran hawataki kuwasaidia ndugu zao?
Makafiri bwana lakn kila siku utasikia marekani kapiga bomu syria, Iraq, Lebanon na nchi nyingne za kiarabu, lakn uwez skia nchi ya kiarabu yoyote imepiga bomu ulaya au Amerika

Nabado magaidi waislamu 😄😄😄
 
Kutokana na historia ya Palestina kila wanapokaribishwa na kupewa uhuru hujikuta wao ndio wanataka kuamrisha wenyeji na kutaka kutawala wao.

Historia zimeandikwa nyingi sana kuhusu hawa.

Hawa walitakiwa kumegewa eneo wakawa na taifa lao ili wafanye wanavyotaka sio kuwaingiza kwenye nchi.

Nachojiuliza mbona Iran hajawaweka kwake.
Hebu tuambie ni wapi Wapalestina walikaribishwa qakataka kupafanya kwao,na ukishindwa nakushauri umuogope Mungu na uache kusingizia binadamu wenzio ambao hawana makazi nani wakimbizi kwani Mungu aliekupa amani na usalama ndio aliewapa vita Mungu hakushindwa kukufanya wewe uww kwenye vita.Na pia hatujui kesho labda kunaweza kutokea vita ulipo wewe ndio ukawa mkimbizi na mhitaji kwa watu,utajisikiaje?
 
Back
Top Bottom