Ni jambo jema Afrika Kusini kuwapokea wapalestina ila kuna siku mtajuta

Ni jambo jema Afrika Kusini kuwapokea wapalestina ila kuna siku mtajuta

Wana mentality mbovu sana wale watu, walikaribishwa Lebanon wakawa wanashiriki siasa za nchi kana kwamba ni wazawa asilia kumbe ni wakimbizi tu. Ulaya, Amerika, Australia wakikaribishwa hawaachi asili yao ya ugaidi. Hawa kiboko yao ni waislam wenzao wa mataifa ya kiarabu waende huko wakachuane na wa imani yao
Lete ushahidi wa Wapalestina kuhusika Na matukio ya ugaidi katika nchi ulizozitaja!?
Lebanon wanaoshiriki siasa za Beirut ni wapalestina wenye uraia wa Lebanon.
Msiwe mnaropoka tu kama mmekunywa maji ya kinyesi.
 
Embu muwe mnazungumza mnachofahamu. Ficha ujinga wako.
Iran kuna malaki ya wapalestina,Jordan kuna maelfu ya Palestines,South America kuna malaki ya Palestines,USA kuna malaki ya Palestines,Sweden, Finland, Australia. Je huko umesikia Wapalestina wakifanya vurugu zozote!???
Lete ushahidi ni nchi gani wapalestina walikaribishwa wakawageukia wenyeji!??
Wewe ndio mjinga kama unawapenda sana wakaribishe nyumbani kwako.
 
Wewe ndio mjinga kama unawapenda sana wakaribishe nyumbani kwako.
Huna la maana unaloongeaga wewe dhidi ya chuki binafsi.
Hao wapalestina wapo Hadi South America Na ni viongozi Hadi baadhi ya nchi za kilatini Na wanaleta maendeleo pasi Na bugudha YEYOTE.
Ficha ujinga wako usiongee ambacho huna elimu nacho.
 
Lete ushahidi wa Wapalestina kuhusika Na matukio ya ugaidi katika nchi ulizozitaja!?
Lebanon wanaoshiriki siasa za Beirut ni wapalestina wenye uraia wa Lebanon.
Msiwe mnaropoka tu kama mmekunywa maji ya kinyesi.
we huwa unakunywa maji ya kinyesi?
 
mkuu samahan kama hapo middle east waisrael au wayahudi walipewa hifadhi je unaweza ukanambia hao wayahudi tunaowasoma kwny BIBLIA NA KURAN na history mbalimbali je walikuwa wanaishi wapi kpnd hcho wanazungumziwa kwny vitabu vya kidini tn inaonekana wkt huo hata YESU hakuwa ameshakuja dunian wala muhamad hakuwepo duniani je watu hao walikuwa wanaishi wp sasa kama hapo walipo wamepewa hifadhi tu usnambie kwmb hao n mamluki nataka unambie wale og unaowajua walikuwa wp enz hzo na wako wp?
Kibiblia waisrael ni chimbuko la Abraham ambaye alikua akiishi Ur eneo ambalo lipo Iraq ya sasa!!

Kasome biblia mwanzo 13 na 14 utagundua Abraham mwenyewe alikuta Jerusalem tayari ina mfalme na kulikua na taifa kabisa.

So walichofanya walichinja kila mtu ndio wakateka ardhi
 
sa mkuu mbona hujalitaja hlo taifa na mfalme wake ambaye abraham alimkuta hapo na wayahudi walimkuta ksha wakaanza kuwaua wenyeji sema walikuwa kna nani maana kwa mujbu wa biblia hakuna ktu kiitwacho palestina hapo ila kulikuwa na wakaanani eneo hilo wkt wayahud wanatoka misri utumwani..sasa je waislam mnataka kusema wayahudi kwao ni iraq au siyo?
 
Naona migaidi kwa wingi, soon wataungana na Alshabab na boko haram 😹
 
Kutokana na historia ya Palestina kila wanapokaribishwa na kupewa uhuru hujikuta wao ndio wanataka kuamrisha wenyeji na kutaka kutawala wao.

Historia zimeandikwa nyingi sana kuhusu hawa.

Hawa walitakiwa kumegewa eneo wakawa na taifa lao ili wafanye wanavyotaka sio kuwaingiza kwenye nchi.

Nachojiuliza mbona Iran hajawaweka kwake.
subiri wale wenye majina ya kina Mwajuma, Muddy, Choro waje kama watakuelewa. Lakini wakichukuliwa uko utmwani kina JIMMY. TIMMY, MIKE tunaufadhari. Wanaishia kupewa viagra alafu wanabutuliwa na majibwa. Ila ukienda huko mitaani kwao hawataki hata kuona mbwa akipita barabarani
 
sa mkuu mbona hujalitaja hlo taifa na mfalme wake ambaye abraham alimkuta hapo na wayahudi walimkuta ksha wakaanza kuwaua wenyeji sema walikuwa kna nani
Mwanzo 14 inataja falme hizo. Sodom, Gomorrah, Admah, Zebolim, na Zoar haya maeneo ni Israel/Jordan ya sasa. Kumbuka mataifa ya zamani yalikua city states unakuta kila mji ni ufalme unajitegemea sio mfumo wa nchi kama sasa unless ni empire kubwa kidogo. Hata Jerusalem ambao ni mji mkuu wa israel ya leo, biblia inamtaja Melchizedek kama mfalme wa eneo lile na hata Abraham alimsujudia.
 
ila kulikuwa na wakaanani eneo hilo wkt wayahud wanatoka misri utumwani..
Canaanites wamekuwepo hapo tokea kipindi cha Nuhu so hayo ya utumwani yanatokea wapi? Makabila kma Gilgashi, amaleki, Jebu, hivi, hiti n.k yalikuwepo hata kabla Abraham hajazaliwa tokea Mwanzo 10. So msitunge story ili kulazimisha propaganda.

Na kingine usiwaite wayahudi, Abraham hakuwa myahudi alizaa mataifa kibao tu so huwezi justify ardhi eti ya wayahudi wakati Abraham alikua na watoto zaidi ya 6!! Nao ni warithi wa huo uporaji sio yakobo pekee!!
 
sasa je waislam mnataka kusema wayahudi kwao ni iraq au siyo?
Jiheshimu, mimi sio muislam ni mkristo tena mlokole kabisa ila sipendi upotoshaji. Mandela na Nyerere ni wakristo ila waliunga mkono Palestine so sio kila kitu muingize dini tu.

Ila ukweli ni kwamba chimbuko la wayahudi ni Iraq/Syria ya sasa. Hata hujui Yakobo yaani Israel alioa wanawake kutoka Syria na Iraq huko? sababu ndio chimbuko lao. Hata wewe nikikuuliza tu Israel ni race gani utasemaje ni Semite au Caucasian?
 
Kutokana na historia ya Palestina kila wanapokaribishwa na kupewa uhuru hujikuta wao ndio wanataka kuamrisha wenyeji na kutaka kutawala wao.

Historia zimeandikwa nyingi sana kuhusu hawa.

Hawa walitakiwa kumegewa eneo wakawa na taifa lao ili wafanye wanavyotaka sio kuwaingiza kwenye nchi.

Nachojiuliza mbona Iran hajawaweka kwake.
Iran hawawezi kuwakaribisha ila wako tayari kuwasaidia from a distance kwani wanajuana, wakikaa wataanzisha vita na vurugu from nowhere. Hapa tu kosa alilofanya Nyerere kutuunganisha na Wazanzibari ndiyo hii imesababisha wanatuua kama kuku.
 
Mwanzo 14 inataja falme hizo. Sodom, Gomorrah, Admah, Zebolim, na Zoar haya maeneo ni Israel/Jordan ya sasa. Kumbuka mataifa ya zamani yalikua city states unakuta kila mji ni ufalme unajitegemea sio mfumo wa nchi kama sasa unless ni empire kubwa kidogo. Hata Jerusalem ambao ni mji mkuu wa israel ya leo, biblia inamtaja Melchizedek kama mfalme wa eneo lile na hata Abraham alimsujudia.
mpaka sasa hakuna ulipothibitisha kwamba hilo eneo ni mali ya wapalestina maana hawajatajwa popote ndani ya biblia hata wewe hujasema kwa vielelezo kwmb hapo walipo wapalestina na kwao.
 
Canaanites wamekuwepo hapo tokea kipindi cha Nuhu so hayo ya utumwani yanatokea wapi? Makabila kma Gilgashi, amaleki, Jebu, hivi, hiti n.k yalikuwepo hata kabla Abraham hajazaliwa tokea Mwanzo 10. So msitunge story ili kulazimisha propaganda.

Na kingine usiwaite wayahudi, Abraham hakuwa myahudi alizaa mataifa kibao tu so huwezi justify ardhi eti ya wayahudi wakati Abraham alikua na watoto zaidi ya 6!! Nao ni warithi wa huo uporaji sio yakobo pekee!!
mimi stungi ila ni biblia ndo inasema waisrael au wayahudi walikuwa utumwani misri ndo wakaja huko kaanani wakiongozwa na moses swala urithi kwa yakobo ni biblia ndo inasema tena urithi kwa makabila 12 ya israel si mimi ni biblia kama unaona ni propaganda inakuaje unanukuu tena vifungu ndani yake kujtetea na wkt unasema ni propaganda unadhan kwa akili ndogo ulizo nazo za madrasa unaweza niaminisha nn mimi ktoka kwny kuran? Ni uchafu ule wny ahadi ya gongo na wanzuki na mademu 72 uko peponi.
 
Wapi nimetaja palestina? Usinilishe maneno. Nilichosema Israel ilikuta kuna mataifa tayari ikayapora ardhi.
kama mudi alivyoeneza uislam kwa kuua watu kwa vita alikuwa anavamia miji ya watu wenye dini zao na tawala zao anaanzsha vita ili kueneza uislam hakuna popote alipopeleka uislam kwa amani bali kwa vita haya vp yeye hakuwa mvamizi? Ila waisrael ndo pekee wawe wavamizi?
 
Back
Top Bottom