unapafahamu magomeni ArgentinaKama ilivyo kwa wayahudi, kila sehemu walopewa wakataka kulazimisha mila zao wakafukuzwa na kupewa sehemu ya kuishi hapo Palestina na kuwafukuza wenyeji
Wapalestina wapo wengi Lebanon, Jordan, Misri na nchi nyingi za Kiarabu na Ulaya na US pia
Iran sio waarabu
Unapajua Sinza Palestina
Unajua kwanini panaitwa hivyo?
The mind naps while the fingers pick fightsunapafahamu magomeni Argentina
unapafahamu Temeke sudani.
unapafahamu Bomu bomu kijiwe sami.
Unajua kwa nini panaitwa hivyo?
Acha kulishwa propaganda, mbona wapo kibao tu Argentina na Chile huko umewahi sikia wanajilipua au kupindua nchi?Kutokana na historia ya Palestina kila wanapokaribishwa na kupewa uhuru hujikuta wao ndio wanataka kuamrisha wenyeji na kutaka kutawala wao.
Historia zimeandikwa nyingi sana kuhusu hawa.
Hawa walitakiwa kumegewa eneo wakawa na taifa lao ili wafanye wanavyotaka sio kuwaingiza kwenye nchi.
Nachojiuliza mbona Iran hajawaweka kwake.
Iran hawawezi kuwapokea sababu wanapinga wao kugeuzwa wakimbizi kwenye nchi yao wenyewe. Ni sawa na kuhalalisha maono ya Israel ta kuhakikisha inawaondoa wapalestina wote middle east.Nachojiuliza mbona Iran hajawaweka kwake
Kuna sehemu nimekwambia kujilipua au wewe ndio umesema.Mimi na wewe nani analeta propaganda.Acha kulishwa propaganda, mbona wapo kibao tu Argentina na Chile huko umewahi sikia wanajilipua au kupindua nchi?
Experience ya Jordan ni exception, but vipi kwa wayahudi niambie ni nchi ngapi wakienda wanataka kuzicontrol wao? Ona marekani mpaka bunge na seneti wao ndio wanatoa mabilioni kupitia AIPAC ili sera zao ndio zipitishwe. Same can be said kwa nchi karibu zote za ulaya!! Ila mnaona ni halali tu.
Historia za JF? Ndio zipi hizo? Hizi za propaganda mnazoweka hapa!! Hujui nchi ngapi wayahudi walijaribu kupindua ila unakuja kulalamika kuhusu palestina upo serious kweli?Kuna sehemu nimekwambia kujilipua au wewe ndio umesema.Mimi na wewe nani analeta propaganda.
kwani historia zilizowekwa hapa JF ujasoma.
mkuu samahan kama hapo middle east waisrael au wayahudi walipewa hifadhi je unaweza ukanambia hao wayahudi tunaowasoma kwny BIBLIA NA KURAN na history mbalimbali je walikuwa wanaishi wapi kpnd hcho wanazungumziwa kwny vitabu vya kidini tn inaonekana wkt huo hata YESU hakuwa ameshakuja dunian wala muhamad hakuwepo duniani je watu hao walikuwa wanaishi wp sasa kama hapo walipo wamepewa hifadhi tu usnambie kwmb hao n mamluki nataka unambie wale og unaowajua walikuwa wp enz hzo na wako wp?Kama ilivyo kwa wayahudi, kila sehemu walopewa wakataka kulazimisha mila zao wakafukuzwa na kupewa sehemu ya kuishi hapo Palestina na kuwafukuza wenyeji
Wapalestina wapo wengi Lebanon, Jordan, Misri na nchi nyingi za Kiarabu na Ulaya na US pia
Iran sio waarabu
Unapajua Sinza Palestina
Unajua kwanini panaitwa hivyo?
Israel haitaki kuwapa Taifa lao.Hawa walitakiwa kumegewa eneo wakawa na taifa lao ili wafanye wanavyotaka sio kuwaingiza kwenye nchi.
Embu muwe mnazungumza mnachofahamu. Ficha ujinga wako.Kutokana na historia ya Palestina kila wanapokaribishwa na kupewa uhuru hujikuta wao ndio wanataka kuamrisha wenyeji na kutaka kutawala wao.
Historia zimeandikwa nyingi sana kuhusu hawa.
Hawa walitakiwa kumegewa eneo wakawa na taifa lao ili wafanye wanavyotaka sio kuwaingiza kwenye nchi.
Nachojiuliza mbona Iran hajawaweka kwake.