Ni jambo jema Afrika Kusini kuwapokea wapalestina ila kuna siku mtajuta

Melkizedek hakuwa na baba wala mama, wala hana mwanzo wala mwisho wa kutawala kwake.

Mungu mwenyewe ndiye alikuwa mfalme wa Salemu not Jerusalem kama ulivyosema.

Conclusion ni kuwa, Melkizedek ndiye Mungu mwenyewe aliyepokea sadaka za Ibrahimu na ndiye aliyempa Ibrahim hiyo nchi.
 
Hayo ya melchizedek nayafahamu na nilishaandika uzi humu so hakuna kipya utasema

Hapo Nimeongelea miji zaidi ya mitano unaweza niambia hiyo yote nayo imeenda wapi? Au na yenyewe ni ya kiroho? Au Salem pekee ndio tutafsiri kiroho ila Sodom, Gomorrah, Admah, Zebolim, na Zoar tutafsiri kimwili?
 
Magaidi ni waislamu, wazee wa kujitoa muhanga. Hujiulizi kwanini Iran hawataki kuwasaidia ndugu zao?
Makafiri bwana lakn kila siku utasikia marekani kapiga bomu syria, Iraq, Lebanon na nchi nyingne za kiarabu, lakn uwez skia nchi ya kiarabu yoyote imepiga bomu ulaya au Amerika

Nabado magaidi waislamu πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Hebu tuambie ni wapi Wapalestina walikaribishwa qakataka kupafanya kwao,na ukishindwa nakushauri umuogope Mungu na uache kusingizia binadamu wenzio ambao hawana makazi nani wakimbizi kwani Mungu aliekupa amani na usalama ndio aliewapa vita Mungu hakushindwa kukufanya wewe uww kwenye vita.Na pia hatujui kesho labda kunaweza kutokea vita ulipo wewe ndio ukawa mkimbizi na mhitaji kwa watu,utajisikiaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…