Ni jambo jema Tundu Lissu kujitetea Mwenyewe. Huwezi jua pengine kati ya Mawakili wake kuna akina Yuda Eskarioti

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
GT
Maskini haaminiki hasa mtu mweusi kutoka Tanzania., mawakili.30 ni wengi sana lazima mamluki wapo tu wanaopeleka mipango upande wa pili kabla ya kesi.

Nadhani leo tumejionea hali ilivyokuwa tofauti bada ya mwamba kusimama yeye kama yeye, hatua hii itapunguza kuvujishwa mbinu na vifungu vya sheria kwa mawaklli.wa serikali.

Kesi iliyopita mawakili wa serikali. walionekana kujua vipengele mno tofauti na leo ndo maana lisu kashitukia mchezo huo mchafu
 
Fatigue itakua kubwa sanaa kwake, ni jambo muhimu kupata washauri wa kisheria pia.
 
GT
Maskini haaminiki hasa mtu mweusi kutoka Tanzania., mawakili.30 ni wengi sana lazima mamluki wapo tu wanaopeleka mipango upande wa pili kabla ya kesi.

Nadhani leo tumejionea hali ilivyokuwa tofauti bada ya mwamba kusimama yeye kama yeye, hatua hii itapunguza kuvujishwa mbinu na vifungu vya sheria kwa mawaklli.wa serikali.

Kesi iliyopita mawakili wa serikali. walionekana kujua vipengele mno tofauti na leo ndo maana lisu kashitukia mchezo huo mchafu
all is possible, one can not rule out that!
 
Lissu siku zote yuko mbele ya Muda.
 
Hata yesu hakuwa na wakili, alijitetea mwenyewe na alihukumiwa kufa.

Wafilipi 1:21 , Kwangu, kuishi ni Kristo, Kufa ni faida zaidi.
 
Si Ndio Maana Tundu Lissu yeye alisema yuko Yayari kunyongwa lakini hata wasaliti Watz wanaotekwa, kupotezwa na kuuawa sababu ya chaguzi na siasa za uonevu.
 
GT
Maskini haaminiki hasa mtu mweusi kutoka Tanzania., mawakili.30 ni wengi sana lazima mamluki wapo tu wanaopeleka mipango upande wa pili kabla ya kesi.

Nadhani leo tumejionea hali ilivyokuwa tofauti bada ya mwamba kusimama yeye kama yeye, hatua hii itapunguza kuvujishwa mbinu na vifungu vya sheria kwa mawaklli.wa serikali.

Kesi iliyopita mawakili wa serikali. walionekana kujua vipengele mno tofauti na leo ndo maana lisu kashitukia mchezo huo mchafu
Kama hupewi nafasi kuongea na watetezi wako, haina maana kuwa na watetezi.

Lissu apambane kupewa nafasi, faragha kuongea na mawakili wake. Ni haki ya kila Mtanzania, Mwananchi yoyote.
 
Si Ndio Maana Tundu Lissu yeye alisema yuko Yayari kunyongwa lakini hata wasaliti Watz wanaotekwa, kupotezwa na kuuawa sababu ya chaguzi na siasa za uonevu.
Bora yeye hakupotezwa tunafahamu anafia mikononi mwa serikali ya ccm.

Huo utayari wa kufa ndio nikakukumbusha,

Wafilipi 1:21, Kwangu, kuishi ni kristo, kufa ni faida zaidi.
 
Sas

Wanatoana macho huko hamlashauri kila mmoja anataka kuwa AFISA UCHAGUZI.
Siyo TASAF TENA HAILIPI
Wanapenda vyeo hao jamaa ni hatari. Kila mtu anajipendekeza kwa bosi angalau apate hata kaa ukuu sa section.
 
Halafu wenye vyeo na hao wakuu wa idara hata ukimwambia aandike report tu hajui labda umpe template amaze napo atakosea
 
Back
Top Bottom