The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
- Thread starter
- #21
Kweli aiseeLissu siku zote yuko mbele ya Muda.
Kweli aiseeLissu siku zote yuko mbele ya Muda.
Sasa mtu hata email tu hatumii mkuu dunnia hii???Exactly wengi akili zimelala
NakaziaPale abaki Kibatala tu
Km angekuwa tayari kufa mbn 2020 baada ya uchaguzi alikimbia nchi? Acheni upuuzi Lissu anatumia kesi kutaka huruma, kufanya siasa. Hawezi kushindana na dola, kimsingi ameshachoka subiri amalize angalau mwaka akitoka atakuwa makini sana ataacha kuropoka, ataacha kupayuka upuuziSi Ndio Maana Tundu Lissu yeye alisema yuko Yayari kunyongwa lakini hata wasaliti Watz wanaotekwa, kupotezwa na kuuawa sababu ya chaguzi na siasa za uonevu.
Kibatala pamoja na kaka yale Lissu wa tumbo moja, hawa ni lyal hawawezi kumsalitiPale abaki Kibatala tu
Sasa angekufa 2020 leo angepambana akiwa mfu? Jemedali ni yule anayekwepa kifo leo ili apambane kesho.Km angekuwa tayari kufa mbn 2020 baada ya uchaguzi alikimbia nchi? Acheni upuuzi Lissu anatumia kesi kutaka huruma, kufanya siasa. Hawezi kushindana na dola, kimsingi ameshachoka subiri amalize angalau mwaka akitoka atakuwa makini sana ataacha kuropoka, ataacha kupayuka upuuzi
Wapo wengi tu wana Elimu za kutosha lakini wameweka elimu zao kwenye maslahi binafsiUkikuta mtu aloelimika yupo CCM, labda kaombwa kwa malipo/kazi maalum.
Hao ni wa Kusoma Kupata cheti, kuelimika( renew of mind) sidhani.Wapo wengi tu wana Elimu za kutosha lakini wameweka elimu zao kwenye maslahi binafsi