Ni jiji lipi linampa mtu fursa ya kuanza biashara na kukua kwa biashara yake?

Ni jiji lipi linampa mtu fursa ya kuanza biashara na kukua kwa biashara yake?

Shukrani sana, nilichoelewa kwenye andiko lako maisha ni popote tu sio lazima kimsingi Uwe kwenye njia ya pesa.
ni kweli mkuu kikubwa msimamo.na pesa zipo ni wewe njia za kuzitoa mfukoni mwa watu we watizame wachina wa makorokoro wameweka mashine kijijini kabisa hata umeme ni wa sola lakini wanachota pesa za mavuno ya wakulima hamnazo kila siku asubui
 
ni kweli mkuu kikubwa msimamo.na pesa zipo ni wewe njia za kuzitoa mfukoni mwa watu we watizame wachina wa makorokoro wameweka mashine kijijini kabisa hata umeme ni wa sola lakini wanachota pesa za mavuno ya wakulima hamnazo kila siku asubui
Changamoto aisee, nipo kigoma vijijini huku naona sielewi Kila kitu nawaza nihamishe familia karibu na sehemu tajwa Hapo juu Mimi nikomae na pori.
 
Changamoto aisee, nipo kigoma vijijini huku naona sielewi Kila kitu nawaza nihamishe familia karibu na sehemu tajwa Hapo juu Mimi nikomae na pori.
kwa kigoma sina uzoefu nako lakini kama umepawaza arusha mkuu ishi nje ya mji kidogo kama USA,kwani kuna makabila mengi yamechanganyika piga biashara mjini na kwa dar ingia nje ya kidogo na mjini komaa,mwanza mjini ,ukiwa arusha ni rahisi sana kuchangamana na majiji kama dar,dom na tanga na kuchukua mizigo yako na kuendeleza bishara yako
 
kwa kigoma sina uzoefu nako lakini kama umepawaza arusha mkuu ishi nje ya mji kidogo kama USA,kwani kuna makabila mengi yamechanganyika piga biashara mjini na kwa dar ingia nje ya kidogo na mjini komaa,mwanza mjini ,ukiwa arusha ni rahisi sana kuchangamana na majiji kama dar,dom na tanga na kuchukua mizigo yako na kuendeleza bishara yako
Ni DM Kuna vitu vingi umenifungulia hapa.
 
DAR es salaam ni jiji kubwa sana..Jiji la Arusha au Dodoma ni Sawa na mitaa miwili au mitatu ya Dsm. Ukubwa wa jiji na uwingi wa watu hutoa fursa pana ya biashara inategemea na wewe unauza nini na unauzaje.
Karibia robo tatu ya watu wa Dsm wanapokwenda kununua bidhaa Kariakoo(hasa za simu) huuziwa bei sawa na wanazouziwa watu mikoani. Kwahiyo walio wengi wananunua bidhaa kutoka kwenye centers za maeneo wanayoishi ili kukwepa gharama za ziada,usumbufu na kuokoa muda.

Note:
Kufanya biashara Dsm kwa mtaji huo ni rahisi zaidi kuliko kufanya mikoani unakosema ambako wenye mitaji mikubwa huudumia hata wateja wadogo. Kwa Dsm haiko hivyo.
Mzunguko wa biashara ni mkubwa inategemea unaiwekaje biashara yako.
Gharama za usafirishaji ni nafuu na hata Kodi ndogondogo sio nyingi na pia hazina usumbufu kama mikoani.

NB; Kama unataka kwenda mkoani basi nenda kafungue vijijini kabisa ambao uta-nominate soko na uuze kila bidhaa inayohitajika kijijini hapo na ununue mazao yanayozalishwa..Ukikaa ukazoeleka baada ya miaka mitatu na kuendelea utauvaa ufalme.

*** Maelezo yangu yote hayo yanahitaji utafiti yakinifu kulingana na nn unataka kufanya.
 
Dar es Salam ni jiji ambalo biashara nyingi ni za kubangaiza tu kwa mtu mwenye mtaji chini ya million 5, maana gharama ya frame, stoo ni kubwa sana.

Mfano ukifungua duka la accecories za simu Dodoma/Arusha, kukua kibiashara ni rahisi kuliko kufungua duka kama hilo Dar es Salam. Watu wengi kwa Dar wana amini mahitaji yote watayapata Kariakoo kwa unafuu, so ukifungua duka la accecories za simu Chanika au Mbezi sidhani kama maokotoo yatakua makubwa (mtazamo wangu).

Ukisema ufungue nafaka Dar es Salam utakuta watu wanauza hizo nafaka kwa ukubwa wake, mfano Tandale, Mwananyamala,Tandika n.k.

Kwa jiji kama la Dar es Salam naona ni bora kuuza huduma (services) zaidi kuliko bidhaa (goods) kwa wingi ule wa watu hapo lazima pesa zikutembelee.

Ni mtazamo tu, wewe waonaje?
Una nafasi kubwa mara mia kufanikiwa biashara yoyote Dar es Salaam kuliko sehemu nyingine yoyote ya nchi hii.

Bila kujali ukubwa wa mtaji.
 
Mimi huwa na waza kwa jiji kama Dar kutoboa ina weza kuwa rahisi kwa kiasi chake. Mfano una weza kuwa na mtaji mfano 8M, ukaamua kwenda mikoa ya nyanda za juu kusini una chukua viazi vya chips au ndizi mbichi. Una kodi fuso then una leta mabibo sokoni una uza ukimaliza una rudi tena shamba kufuata.

Mimi naamini hii ina weza kuwa njia bora zaidi ya kukukuza kiuchumi kwasababu jiji kama la Dar lina watu wengi na hao watu lazima wale chakula na wewe una uza chakula na hao watu wasipo kula wata kufa kwahiyo lazima wale. [emoji23][emoji91]
Dar es Salaam biashara yoyote ina uwezo wa kukua haraka kuliko sehemu nyingine yoyote ya nchi.
 
5 million unaiona ikifanikiwaje kwa dar Hapo mkuu? Kwa idea ipi ya biashara? Kwa dar jinsi palivyo kwa kudunduliza huko tutajenga wapi? Au mkuranga?
Mimi nitakwambia biashara inayoendana nami ..Wewe buni biashara inayoendana na wewe..Then wekeza muda wa kutosha kufanya utafiti wa kujua wapi utaweka ofisi yako,wapi utanunua bidhaa zako. Then anza..
Ukianza achana na matumaini kwamba una mtaji wa 5mil. Hiyo yote inaweza kuzama bila kuanza kuona faida. Lazima utalipa gharama ya kujifunza, kutengeneza wateja wako(wanaonunua) kutengeneza wateja wako(wanaokuuzia). Kukosea,kutapeliwa..NK
Hivyo vyote na vingine ndivyo vitakua mtaji rasmi wa hiyo biashara yako. Mtaji si pesa uliyonayo ..mtaji ni jumla ya kila kitu ikiwa pamoja na maarifa yote utakayovuna miaka miwili au mitatu ya uanzishaji wa biashara yako.
 
Biashara ni popote pale unafanya. Halafu karibu biashara zote zilishafanyika kwahiyo kwa sasa kunachotofautisha watu ni ubunifu tu kwenye kuifanya. Kuna watu wapo Kyela au Mpanda wanapiga hela kuliko watu walioko jijini Dar Es Salaam. Vijana msichague biashara ya kufanya. Yoyote inayoleta hela mezani fanya ili mradi ni ya halali. Usikariri kuuza nguo na simu ndo biashara pekee. Pia wale mnaosema biashara za nafaka ndo uhakika mnakosea sana.... huko nako kuna changamoto kibao sio mteremko. Msikurupuke kwenye kufanya maamuzi yenu kabla ya kuanza biashara.
 
Back
Top Bottom