Mnapo angalia population ya city kua ndiyo customer base sizani kama iko sahihi sana.
Marekani ina population 330M
China population 1.4B
Lakini cheki table below nani ana consumer market kubwa worldwide
View attachment 2693320
Hii inamaanisha nini?
Inamaanisha pato la mtu mmojammoja la USA ni kubwa kuliko la china na nchi zote.
Mtu mmoja wa USA anaweza kununua bidhaa nyingi kwa bei sawa wakati wa China ananunua bidhaa hiyohiyo ila chache.
Good measure ni per capital income,
(regional au City GDP)/(city population) then unapata pato la mtu mmoja.
So inawezakua Dar watu ni wengi ila sio wateja, hawana hela. Ila dodoma watu wachache lakini wanahela na unaungishwa bila njaa.
All in all market research inamata sana.