Ni jiji lipi linampa mtu fursa ya kuanza biashara na kukua kwa biashara yake?

Ni jiji lipi linampa mtu fursa ya kuanza biashara na kukua kwa biashara yake?

Nakupinga. Ww bado huujui huu mji.
Kuna maeneo ukiweka duka la vifaa vya simu bado utauza sana kuliko ukiweka Dom au Arusha, Mfano wa maeneo hayo ni gongolamboto, mbezi mwisho , kimara, Mbagala, tandika, makumbusho nk Sio lazima ufungue ofis kkoo
Nakubaliana na wewe.
Mikoani mzunguko wa pesa ni mdogo sana ukilinganisha na dar

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
hii ndiyo njia nayoitumia siku zote huwa nalalamika tuuh juu ya biashara nayoifanya lakini faida naijua mimi ndio mana siachi.ujue hakuana haja ya kua na duka lime jaa huo ni ushamba hili liko sana mikoani , wewe kuwa na stoo yako ya uchochoroni nyumbani ikiwezekana alafu piga badika bandua ya bidha uwone kama kunamtu atakufikia.
Umewahi kufanya biashara mkoani? Wateja wengi kwa biashara ya nguo,viatu,accessories za simu,urembo na vipodozi huwa wanaangalia kushiba kwa duka yaani kujaa
 
Aahaa wap! Yan mtu atoke buza akanunue chaji kkoo sio kweli. Labda awe anasafari ya huko
Jamaa nadhani hajawahi fika dar,
Yani nitake extension ya 20k nitoke mbezi niende kkoo ? Au nitake pasi niende kkoo? Au nitake mkungu wa ndizi nitoke kinyerez niende mabibo ? Hapana aiseee
Jamaa anadhani Dar ni ndogo sana kama Dom
 
Dar soko lipo kulingana na idadi ya watu ambapo kimsing watu ndio wateja wenyewe,swala n competition yaan % ya watu wanao kuja dar anakuja kufanya biashara matokeao yake n kuwa biashara za kufanana znakua nying itapelekea mapato/rizik kuwa za kugawanagawana sana labda uwe na capital kubwa ufanye kwa ukubwa

Vingnevyo kuna chimbo huko mikoan unaweza anzisha biashara ukapata maisha kulko huku dasilamu,ambapo hata gharama za kuendesha maisha na biashara n kubwa….kikubwa upate mahala ambapo competition unaweza kuimuda na panamzunguko daslamu n jina tu hakuna maajabu sana
 
Mimi huwa na waza kwa jiji kama Dar kutoboa ina weza kuwa rahisi kwa kiasi chake. Mfano una weza kuwa na mtaji mfano 8M, ukaamua kwenda mikoa ya nyanda za juu kusini una chukua viazi vya chips au ndizi mbichi. Una kodi fuso then una leta mabibo sokoni una uza ukimaliza una rudi tena shamba kufuata.

Mimi naamini hii ina weza kuwa njia bora zaidi ya kukukuza kiuchumi kwasababu jiji kama la Dar lina watu wengi na hao watu lazima wale chakula na wewe una uza chakula na hao watu wasipo kula wata kufa kwahiyo lazima wale. [emoji23][emoji91]

Achana na biashara za mali kuoza kaka
Zinahitaji ujuzi mkubwa sana hizooo
 
Dar es Salam ni jiji ambalo biashara nyingi ni za kubangaiza tu kwa mtu mwenye mtaji chini ya million 5, maana gharama ya frame, stoo ni kubwa sana.

Mfano ukifungua duka la accecories za simu Dodoma/Arusha, kukua kibiashara ni rahisi kuliko kufungua duka kama hilo Dar es Salam. Watu wengi kwa Dar wana amini mahitaji yote watayapata Kariakoo kwa unafuu, so ukifungua duka la accecories za simu Chanika au Mbezi sidhani kama maokotoo yatakua makubwa (mtazamo wangu).

Ukisema ufungue nafaka Dar es Salam utakuta watu wanauza hizo nafaka kwa ukubwa wake, mfano Tandale, Mwananyamala,Tandika n.k.

Kwa jiji kama la Dar es Salam naona ni bora kuuza huduma (services) zaidi kuliko bidhaa (goods) kwa wingi ule wa watu hapo lazima pesa zikutembelee.

Ni mtazamo tu, wewe waonaje?
Makunduchi Zanzibar
 
Yeye hajui kua huu mji una hela sana. Kwa mfano ukiwa na mtaji wa 3M unaweza ukafungua duka la vifaa vya simu kwa maeneo km tabata, buza, tegeta, kigamboni nk na ukatoboa fresh.
Simu gani hizo wafanyabiashara sasa hivi wanauza simu kwa mkopo
 
Dar es Salam ni jiji ambalo biashara nyingi ni za kubangaiza tu kwa mtu mwenye mtaji chini ya million 5, maana gharama ya frame, stoo ni kubwa sana.

Mfano ukifungua duka la accecories za simu Dodoma/Arusha, kukua kibiashara ni rahisi kuliko kufungua duka kama hilo Dar es Salam. Watu wengi kwa Dar wana amini mahitaji yote watayapata Kariakoo kwa unafuu, so ukifungua duka la accecories za simu Chanika au Mbezi sidhani kama maokotoo yatakua makubwa (mtazamo wangu).

Ukisema ufungue nafaka Dar es Salam utakuta watu wanauza hizo nafaka kwa ukubwa wake, mfano Tandale, Mwananyamala,Tandika n.k.

Kwa jiji kama la Dar es Salam naona ni bora kuuza huduma (services) zaidi kuliko bidhaa (goods) kwa wingi ule wa watu hapo lazima pesa zikutembelee.

Ni mtazamo tu, wewe waonaje?
Wee parakaa.....

A
Dam mzunguko wa pesa ni mkubwa kuliko unavyo fikiria wee
 
Biashara ni popote pale unafanya. Halafu karibu biashara zote zilishafanyika kwahiyo kwa sasa kunachotofautisha watu ni ubunifu tu kwenye kuifanya. Kuna watu wapo Kyela au Mpanda wanapiga hela kuliko watu walioko jijini Dar Es Salaam. Vijana msichague biashara ya kufanya. Yoyote inayoleta hela mezani fanya ili mradi ni ya halali. Usikariri kuuza nguo na simu ndo biashara pekee. Pia wale mnaosema biashara za nafaka ndo uhakika mnakosea sana.... huko nako kuna changamoto kibao sio mteremko. Msikurupuke kwenye kufanya maamuzi yenu kabla ya kuanza biashara.
Nani Kam mam samiaaa mitano Tena kwako
 
Back
Top Bottom