Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
ni kweli mkuu kikubwa msimamo.na pesa zipo ni wewe njia za kuzitoa mfukoni mwa watu we watizame wachina wa makorokoro wameweka mashine kijijini kabisa hata umeme ni wa sola lakini wanachota pesa za mavuno ya wakulima hamnazo kila siku asubuiShukrani sana, nilichoelewa kwenye andiko lako maisha ni popote tu sio lazima kimsingi Uwe kwenye njia ya pesa.
Changamoto aisee, nipo kigoma vijijini huku naona sielewi Kila kitu nawaza nihamishe familia karibu na sehemu tajwa Hapo juu Mimi nikomae na pori.ni kweli mkuu kikubwa msimamo.na pesa zipo ni wewe njia za kuzitoa mfukoni mwa watu we watizame wachina wa makorokoro wameweka mashine kijijini kabisa hata umeme ni wa sola lakini wanachota pesa za mavuno ya wakulima hamnazo kila siku asubui
Aahaa wap! Yan mtu atoke buza akanunue chaji kkoo sio kweli. Labda awe anasafari ya hukoWengi kutoka hqyo Maeneo uliyoyataja akihitaji kifaa Cha simu anaenda kariakoo chap, tofauti na WA mkoani
kwa kigoma sina uzoefu nako lakini kama umepawaza arusha mkuu ishi nje ya mji kidogo kama USA,kwani kuna makabila mengi yamechanganyika piga biashara mjini na kwa dar ingia nje ya kidogo na mjini komaa,mwanza mjini ,ukiwa arusha ni rahisi sana kuchangamana na majiji kama dar,dom na tanga na kuchukua mizigo yako na kuendeleza bishara yakoChangamoto aisee, nipo kigoma vijijini huku naona sielewi Kila kitu nawaza nihamishe familia karibu na sehemu tajwa Hapo juu Mimi nikomae na pori.
Ni DM Kuna vitu vingi umenifungulia hapa.kwa kigoma sina uzoefu nako lakini kama umepawaza arusha mkuu ishi nje ya mji kidogo kama USA,kwani kuna makabila mengi yamechanganyika piga biashara mjini na kwa dar ingia nje ya kidogo na mjini komaa,mwanza mjini ,ukiwa arusha ni rahisi sana kuchangamana na majiji kama dar,dom na tanga na kuchukua mizigo yako na kuendeleza bishara yako
sawa mkuuNi DM Kuna vitu vingi umenifungulia hapa.
Una nafasi kubwa mara mia kufanikiwa biashara yoyote Dar es Salaam kuliko sehemu nyingine yoyote ya nchi hii.Dar es Salam ni jiji ambalo biashara nyingi ni za kubangaiza tu kwa mtu mwenye mtaji chini ya million 5, maana gharama ya frame, stoo ni kubwa sana.
Mfano ukifungua duka la accecories za simu Dodoma/Arusha, kukua kibiashara ni rahisi kuliko kufungua duka kama hilo Dar es Salam. Watu wengi kwa Dar wana amini mahitaji yote watayapata Kariakoo kwa unafuu, so ukifungua duka la accecories za simu Chanika au Mbezi sidhani kama maokotoo yatakua makubwa (mtazamo wangu).
Ukisema ufungue nafaka Dar es Salam utakuta watu wanauza hizo nafaka kwa ukubwa wake, mfano Tandale, Mwananyamala,Tandika n.k.
Kwa jiji kama la Dar es Salam naona ni bora kuuza huduma (services) zaidi kuliko bidhaa (goods) kwa wingi ule wa watu hapo lazima pesa zikutembelee.
Ni mtazamo tu, wewe waonaje?
Dar es Salaam biashara yoyote ina uwezo wa kukua haraka kuliko sehemu nyingine yoyote ya nchi.Mimi huwa na waza kwa jiji kama Dar kutoboa ina weza kuwa rahisi kwa kiasi chake. Mfano una weza kuwa na mtaji mfano 8M, ukaamua kwenda mikoa ya nyanda za juu kusini una chukua viazi vya chips au ndizi mbichi. Una kodi fuso then una leta mabibo sokoni una uza ukimaliza una rudi tena shamba kufuata.
Mimi naamini hii ina weza kuwa njia bora zaidi ya kukukuza kiuchumi kwasababu jiji kama la Dar lina watu wengi na hao watu lazima wale chakula na wewe una uza chakula na hao watu wasipo kula wata kufa kwahiyo lazima wale. [emoji23][emoji91]
5 million unaiona ikifanikiwaje kwa dar Hapo mkuu? Kwa idea ipi ya biashara? Kwa dar jinsi palivyo kwa kudunduliza huko tutajenga wapi? Au mkuranga?Dar es Salaam biashara yoyote ina uwezo wa kukua haraka kuliko sehemu nyingine yoyote ya nchi.
Wewe unataka uanzishe biashara gani ?5 million unaiona ikifanikiwaje kwa dar Hapo mkuu? Kwa idea ipi ya biashara? Kwa dar jinsi palivyo kwa kudunduliza huko tutajenga wapi? Au mkuranga?
Nafaka, vyombo, accecories za simu, vifaa vya ujenzi ni mawazo tu Bado naendelea kufanya upembuzi yakinifu.Wewe unataka uanzishe biashara gani ?
Nafaka na vyombo ni good idea.Nafaka, vyombo, accecories za simu, vifaa vya ujenzi ni mawazo tu Bado naendelea kufanya upembuzi yakinifu.
Mimi nitakwambia biashara inayoendana nami ..Wewe buni biashara inayoendana na wewe..Then wekeza muda wa kutosha kufanya utafiti wa kujua wapi utaweka ofisi yako,wapi utanunua bidhaa zako. Then anza..5 million unaiona ikifanikiwaje kwa dar Hapo mkuu? Kwa idea ipi ya biashara? Kwa dar jinsi palivyo kwa kudunduliza huko tutajenga wapi? Au mkuranga?
Location? Maana huko DARESALAM utakuta hiyo ni Hela ya Kodi kwa mwaka Hapo Bado TRANafaka na vyombo ni good idea.
Kwa nini Dar?Kwanini Dodoma mkuu tupe tips kidogo, wengine tuanze kufikiria na upande huo
Siyo sehemu zote kwa Dar es Salaam kodi ni kubwa.Location? Maana huko DARESALAM utakuta hiyo ni Hela ya Kodi kwa mwaka Hapo Bado TRA
Population> kuliko Dom, mzunguko wa pesa > kuliko Dom, Mimi naona hivyo tu japo naiona Dom Ina mafanikio kwa mtu anaeanza maisha kama Mimi kuliko dsm.Kwa nini Dar?