Ni juhudi gani zifanyike, ili kumzuia Makonda asiendelee kumdhalilisha Mwenyekiti Mbowe kupitia mikutano ya kisiasa?

Attachments

  • images (4).jpeg
    53.4 KB · Views: 2
  • images (5).jpeg
    33.7 KB · Views: 2
Umejibu kimhemko sana kiasi kwamba ni rahisi watu wenye akili ku notes kwamba una uoga fulani juu ya ujaji wa Makonda katika mambo ya siasa. Hadi kupelekea kuonesha hofu yako wazi wazi mitandaoni.
Hahaha jamaa wamepanic utafikiri wamelazimishwa kuendelea kumpigania Mbowe mitandaoni 🀣🀣🀣
 

Attachments

  • images (4).jpeg
    53.4 KB · Views: 2
  • images (5).jpeg
    33.7 KB · Views: 2
Umeandika nini sasa!! Ccm chama chenye karibu Karne kinamtegemea Mtu mmoja? Yaani Lisu na Mbowe wanamchangia mtu mmoja na sio ccm. Ni saw na timu ya mpira iseme timu haijafungwa bali ni kikisi kibovu kilichocheza
 
Umeandika nini sasa!! Ccm chama chenye karibu Karne kinamtegemea Mtu mmoja? Yaani Lisu na Mbowe wanamchangia mtu mmoja na sio ccm. Ni saw na timu ya mpira iseme timu haijafungwa bali ni kikisi kibovu kilichocheza
Nani nani alieandika kuwa CCM inamtegemea mtu mmoja?

Unaijua CCM vizuri au umekimbilia kuandika ili bavicha wakuone kuwa na wewe ni mwenzao?

CCM imeshinda uchaguzi mkuu wa mwaka 1995, chini ya uenyekiti wa mzee Mwinyi, kabla hata Makonda ajajua kujifuta kamasi puani.

CCM imeshinda chaguzi kuu za mwaka 2000 na 2005 chini ya mwenyekiti hayati mzee Mkapa tena kwa kishindo kikubwa huku Makonda akiwa kwao anasoma.

CCM imeshinda chaguzi za 2010 na 2015, chini ya baba wa siasa za kisasa na kizamani mzee J. Kikwete.

CCM imeshinda uchaguzi wa kishindo mwaka 2020 hadi kupelekea mgombea wa upinzani kukimbilia Ulaya kwa kisingizio cha kuokoa maisha yake nk.

Hivyo CCM ina historia imara ya kushinda chaguzi mbali mbali bila kumtegemea mtu yoyote.

Tunachouliza kwenye mada hii, ni...
1. kwanini Mbowe ameacha kuendelea na mikutano yake ya kisiasa aliyopanga kuifanya nchi nzima?

2. Kwanini amesitisha baada ya Makonda kuchaguliwa kuwa katibu mwenezi na kuahidi kumfuatilia Mbowe kila anapokwenda ili kuhakikisha anasafisha uongo wowote utakaozungumzwa na Mbowe katika sehemu husika?

Endelea kushupaza shingo kwa kukwepesha kiini cha mada, japo hilo halitosaidia chochote katika uchaguzi mkuu unaokuja.

Upinzani unaangukia pua kila siku kwa sababu ya kuwa na vijana waliokaririshwa kitu kimoja tu cha kumtetea mwenyekiti wa chama hata anapoonekana kuwa kaishiwa pumzi, na kukitetea chama hata kinapoonekana dhahiri kuyumba.
 

Attachments

  • images (4).jpeg
    53.4 KB · Views: 1
  • images (5).jpeg
    33.7 KB · Views: 1
Huyu jamaa asivyo na adabu anaweza kumpigia hata Rais kwa nchi na akauweka loud kwenye vi mikutano vyake.
 
Huyu jamaa asivyo na adabu anaweza kumpigia hata Rais kwa nchi na akauweka loud kwenye vi mikutano vyake.
Sidhani kama anaweza kuthubutu kufanya hivyo hata siku moja!
 
Weka namba wakukumbuke teuzi na weee kiongozi tabula rasa....
 
Weka namba wakukumbuke teuzi na weee kiongozi tabula rasa....
Wewe mbona hukuweka za kwako, ili 2025 mwenyekiti akuchague kwenye ubunge wa viti maalumu kwa sababu ya kumtetea, na kumpigania mitandaoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…