Ni juhudi gani zifanyike, ili kumzuia Makonda asiendelee kumdhalilisha Mwenyekiti Mbowe kupitia mikutano ya kisiasa?

Ni juhudi gani zifanyike, ili kumzuia Makonda asiendelee kumdhalilisha Mwenyekiti Mbowe kupitia mikutano ya kisiasa?

Ww unafikiri wasukuma ni wepesi kama Nyumbu. Nyie Chadema mmewatukana sana pia mmemtukana sana JPM aslani hakuna msukuma yeyote mwenye akili timamu akawapigia kura Chadema..
Mshahara wa dhambi ni mauti.

Acha wale jeuri yao 🤣🤣
 
Makonda ana ajenda gani zaidi kuzunguka na kuongeaongea bila ya kuzungumza chochote?
 
Kila mtu anauona ukweli, lkn anakwepa kuukubali ili asionekane mstaliti wa kambi (chama)

Kitendo cha mwenyekiti kustopisha operation zake ghafla baada ya Makonda kuapishwa, na kuahidi kula nae sahani moja kinamdhalilisha, kinamshushia heshima na kumfanya mwenyekiti aonekane ameisha kisiasa ndomaana anakwepa kuendelea na mikutano yake kama alivyokuwa amepanga.

Kwa kauli hiyo ya Makonda, Mbowe alitakiwa aendelee na mikutano yake ili kuuonesha umma wa watanzania kuwa Makonda si lolote, si chochote. Lakini sio kujificha, kunywea na kuja na hoja za hovyo kwa kuwaangushia jumba bovu mamlaka inayohusika na mambo ya hali ya hewa nk.
kwamba hufahamu mamlaka imesha tahadharisha kuwa na hali mbaya ya hewa

au unataka apuuze ikitokea ajari uje na stori tena kwamba aliambiwa akapuuza

huyu makonda unaye msema ana hangaika na ccm wenzake asa mbowe amuogope kwa kipi
 
Sijamtaja mm,

Pia mjue, wananchi Si wajinga.

Magu hakuuza bandari, mnalo.

Tusubiri.
Kama nilivyosema hapo juu, kwamba watanzania wa sasa sio wale wa 2006 hadi 2015, ambao walitumiwa kama ngazi.

Watanzania wa 2006 hadi 2015 ilikuwa ukiwaambia andamaneni wanaandamana bila kujua sababu ya kuandamanishwa, tena ilifika kipindi Mbowe anapanga maandamano huku yeye na familia yake wakiwa zao Afrika kusini wanakula bata. Wajinga wakaingia barabarani wakala vichapo, yeye akawa anafuatilia kinachojiri kupitia kwenye TV tu.

Watanzania wa 2006 hadi 2015 waliambiwa Lowasa ni fisadi na wao wakakubali bila kuoneshwa ufisadi wenyewe aliofanya Lowasa. Mwaka 2015 wakaambiwa tena Lowasa sio fisadi na yenyewe kama manzi yanayofuata kokwa yakaanza kupiga deki ili Lowasa apite.

Watanzania wa 2020 hadi 2023, hawaendeshwi kwa porojo, bali kwa fact. Ukisema bandari imeuzwa wanakwambia lete kifungu kinachoonesha mauziano na makabidhiano ya pesa. Kama hamna basi watu wanakwepa mikutano yenu kama tunavyoona kwa kina Mbowe.
 
Udhaifu wa ccm siku zote ni ushindi kwa chadema. Ndio maana kipindi cha Magu waliegemea kwenye hoja ya kuzuiwa mikutano. Japo waliambiwa wabunge wapige tu mikutano bila shida.

Sasa hapa kati ccm imekuwa dhaifu mno kuwahi kutokea..kitendo cha makonda kuwapigia mawaziri simu, sijui makatibu,mara wakuu wa TRA,mara maRC na maDC katika hali ya kutaka kujua utekelezaji na hatua mbalimbali zinazochukuliwa kutatua kero na adha za wananchi kimewashtua mno chadema.

Wanaona wazi kifo chao cha mara ya pili baada ya kuanza kupata matumaini ya kufufuka.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
kwamba wewe una ufahamu ama ndo kujidai kuwaza ki GT kumbe uharo tu

mkakati gani, ana kipi cha maana zaidi ya upumbavu
Mwenyekiti baada ya kusikia hiyo kauli, akasoma alama za nyakati na kuamua kuacha kuendelea na mikutano yake, maana asije kuaibishwa na kijana ambae hajafikia hata ukatibu mkuu wa chama 🤣🤣🤣
 
Duuuh, kweli ujinga ni mzigo Aiseee..hongera kwa kujinyakulia buku 7 hapo lumumba
Kama nilivyoandika hapo juu, kwamba lengo la uzi Huu ni kuwaiteni chawa wake mje kumtetea mwenyekiti wenu, baada ya yeye mwenyewe kushindwa au kuogopa kujitetea kupitia mikutano yake aliyokuwa amepanga kuifanya kabla ya kuapishwa Makonda.

Msiempenda kaja.
 
Nimependa ulivyotumia busara kumfungua kichwa huyo kichwanazi mkurupukaji 🤣🤣🤣
Hivi outstanding person anawezaje kukoment kabla ya kusoma contents kwanza? Maana utakachoshauri au kusema kitakuwa nje kabisa ya yaliyojadiliwa. Hapo ndio tunapata wapumbavu kama huyo sasa.
Ukimwita bogus atakumind mpaka kesho🤣
 
Kuwa Mwanaharakati/Mtetea Haki za Wanyonge Yakupasa Uwe Umejitoa Kweli Kweli Usiwe na Cha Kupoteza Hata Kifo. Kizazi hiki hakuna tena wale wanaume wa shoka kina Ernesto Che Guevara, Martin Lumumba, Malcolm X na wengineo waliojitolea maisha yao kuipambania Afrika. Wanaharakati tuliokuwa nao sasa Ni Uchwara wapo kimaslai zaidi alafu Waoga kama Kunguru. Pathetic
Kizazi hiki kiongozi anawaandaa vijana kufanya maandamano, alaf siku ikifika yeye na familia yake hawaonekani maandamanoni 🤣🤣🤣
 
Muwe mnasoma kilichoandikwa kabla ya kukoment. Kuna vitu ukivifanya hadharani vinadhihirisha ujinga uliojificha[emoji1787][emoji1787]
Huyo jamaa ataandika nini cha maana?.Mimi nimesoma kwasababu napenda kusoma maandishi yoyote ata ya mjinga lakini sijaona cha maana alichokiandika.Mawazo yake yakijinga dhidi ya mbowe na chadema hayawezi kumsaidia yeye binafsi wala hayakisaidii chama chake zaidi sana katumia muda kuandika ujinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You're still insisting ahuh?! How despicable is it? Embu edit ulichandika hakiendani na taarifa rasmi bhana.
Wewe ndo hujaelewa, mtoa mada ameelewa,

Nimeandika indirectly kama mtoa mada alivyoandika.

Nakielewa nilichoandika.
 
Kuwa Mwanaharakati/Mtetea Haki za Wanyonge Yakupasa Uwe Umejitoa Kweli Kweli Usiwe na Cha Kupoteza Hata Kifo. Kizazi hiki hakuna tena wale wanaume wa shoka kina Ernesto Che Guevara, Martin Lumumba, Malcolm X na wengineo waliojitolea maisha yao kuipambania Afrika. Wanaharakati tuliokuwa nao sasa Ni Uchwara wapo kimaslai zaidi alafu Waoga kama Kunguru. Pathetic

Wapo walijitahidi kama Mwakubusi, Dr Slaa, Madeleke ila hawana platform. Upinzani ulibidi wote waungane pamoja kuiondoa CCM.

Vyama vyote vya upinzani, wasio na vyama na wale waliotengwa ndani ya CCM. Wangepata nguvu kubwa na kuwa mbadala wa kweli wa CCM.

Badala yake wakaungana na viongozi wa juu wa CCM kuwatukana JPM na wasukuma. Hakuna ushindi wala kura hapo. Sera mfu.
 
Mbowe ashawahi kufanya mikutano mingi tu kwa kutumia magari. Sasa kinachomkataza kutumia magari ili kuendelea na mikutano yake ni nini?

Ndomaa maana nikasema jamaa anatoa sababu nyepesi nyepesi zisizokuwa na mashiko.

Anafikiri watanzania wa leo ni sawa na wale wa 2010, kwamba lolote ataloongea hata kama la kipuuzi watu watalikubali!

Mwl Nyerere aliwahi kusema kuwa mtu muongo akikwambia habari za uongo, huku akijua kwamba wewe unautambua uongo wake na kuamua kukuubali hivyo hivyo, basi muongo huyo atakuona wewe unaeendelea kukubali uongo wake kuwa ni mpumbavu uliepitiliza.

Sasa sijui Mbowe anawaonaje wale anaowadanganya kishamba namna hii aisee.
 
Hivi outstanding person anawezaje kukoment kabla ya kusoma contents kwanza? Maana utakachoshauri au kusema kitakuwa nje kabisa ya yaliyojadiliwa. Hapo ndio tunapata wapumbavu kama huyo sasa.
Ukimwita bogus atakumind mpaka kesho🤣
Kumbuka humu kuna warundi na wamalawi wanaojifanya watanzania. Sasa ukiandika kiswahili ambacho wao hawaku kikariri wakati wa kujifunza, lazima waende nje ya mada wakifikiri wanapatia kumbe wana haribu.

Kuna msemo unaosema "mjinga akierevuka, mwerevu hukaa mashakani"

Ndo hao sasa wanajiona wameerevuka kwa kiswahili cha kuunga unga 🤣🤣🤣
 
Ww unafikiri wasukuma ni wepesi kama Nyumbu. Nyie Chadema mmewatukana sana pia mmemtukana sana JPM aslani hakuna msukuma yeyote mwenye akili timamu akawapigia kura Chadema..
Ndo maana mmeletewa hao ndugu zetu kuwahadaa
 
Ndo maana mmeletewa hao ndugu zetu kuwahadaa
Nafikiria Mbowe ameona mbali sana hadi kuamua kuachana na operation zake uchwara, alizokuwa ameziandaa kabla ya Makonda kuwa katibu mwenezi.

Hata kama mtu unashupaza shingo kumuepusha mwenyekiti na aibu lkn bado picha zipo na zinajieleza zenyewe 🤣🤣🤣
 

Attachments

  • images (4).jpeg
    images (4).jpeg
    53.4 KB · Views: 3
  • images (5).jpeg
    images (5).jpeg
    33.7 KB · Views: 2
Pumba tupu umeandika. Mikutano ya makonda inajaza makada na wanachama wa ccm tu tena wengine wanatolewa mbali kujaza mikutano tofauti na kina mbowe wanajaza wananchi halisi wenye kiu na mabadiliko ya kisiasa nchini
 
Back
Top Bottom