jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 5,344
- 7,118
Mkuu utakuta Kijana anaoa Mwanamke ambaye kashashiriki tendo la ndoa na wanaume zaidi ya 5 na wote hao alidumu nao kwa miaka, Mwanamke kama huyu lazima atakua anajua wanaume kiundani ndiyo maana wanajua Mwanaume mwenye kibamia kwasababu anakua kashapitia uzoefu, ni tofauti na Mwanamke ambaye hajawahi kuwa na Wanaume wengi.Umesema vyema mkuu inashangaza kuona wanaume wajinga wajinga wakiwasumbua watu kwa vikao na michango kisa tu anataka kuoa malaya