Ni Jumamosi nyingine, siku nyingine wanaume wapumbavu kwa gharama wanaoa wanawake waliotumika

Kuna muda nahisi wanaoleta hii mijadala ni kama mateenagers.
Maana unaposema mwanaume usisitize suala la kigezo Cha bikra basi na wewe usitongoze demu na usimguse.
Pia una uhakika gani ukioa bikra hautaweza kusalitiwa?
Je unaweza kumridhisha asiweze toka nje ya ndoa daima?
Hivi hawa wanawajua Wanawake kweli??
Kila mtu anafanya jambo ili apate matokeo mazuri. Hizo uncertainty sio sababu ya mtu kuchagua mke blindly tu. Kwaiyo ni lazima uangalie vigezo vya muhimu na kigezo kimoja wapo ni past ya mwanamke. Lazima ujue mwanamke nidhamu yake ya ngono ipoje, ndio maana wewe hauwezi kuoa au kumshauri mtu wako wa karibu aoe mmoja ya wanawake wanajiuza barabarani pale riverside. Na hati safi ya nidhamu ya ngono kwa mwanamke ni bikira
 
Unaropoka na kuzunguka.
Kwahiyo unataka kusema Wanawake wote ambao sio bikra ni sawa na wale wanaojiuza riverside ubungo ambao ni Malaya??
Juu Umeongea vizuri,tizama past side ya mwanamke,Kesha ukaja kuvurunda mwishoni.
Je kama past yake aliolewa mume akafariki?
Je kama past yake aliolewa mume akamtelekeza??
Una generalize vipi kama hivyo?
Je una uhakika gani kama huyo bikra ukimuoa atakupa consistency nzuri ya kinidhamu?
 
Hujajibu swali unatapatapa tu hii inaonesha namna gani yumdogo wa mambo.

Binti kuwa bikra haimaanishi kuwa yeye ni innocent with pure heart and intentions kama unavyodai.
Usafi wa moyo,usafi wa kimatendo na hisia ni hutokana na malezi na udhati wa malezi ya huyo binti.Pia kuyadumisha hayo kunahitajika kujitambua na kujielewa kwa mwanamke ama twaweza kusema SELF AWARENESS ya mwanamke.
Ila ukioa bikra halafu HANA SELF AWARENESS utashangaa unachapiwa ile mbaya humo ndani.

Ila kwa mwanamke ambaye siyo bikra huwenda ukakutana na mwanamke ambaye amekomaa kiakili na self awareness imeongezeka kiasi anahitaji utulivu na kujikinga dhidi ya makosa ama kukosea tena.
Maana sio Kila asiye bikra ni Malaya,wapo ambao waliolewa wame zao wakafariki ila ni Wanawake bora na wenye udhati.

Swali langu bado hujalijibu,pia HUWEZI uka specify mwanamke.
Wanawake ni watu ambao mara nyingi fikra zao hufanana.
Sidhani kama unajua maana ya kitu mwanamke.
Swali lako limejibiwa sema wewe ndie haujaelewa jibu.
Nimeona hapo umeongelea self awareness. Katika kujua mwanamke anajitambua kuna indicators ambazo unaziangalia maana hauwezi tu kuonana na mwanamke ukamjua hapo hapo.

Indicator moja wapo ni bikira. Kitendo cha mwanamke kuwa bikira maana yake anajitambua na anajua thamani ya mwili wake. Mwanamke ambae ameutunza usichana wake kwa ajiri ya mumewe huyu ndie anaejitambua zaidi ambae ameruhusu wanaume wamfunue bila kumuoa.
 
Huna hoja bro.
Ninyi ni much know tu ambao mnasadikisha msemo wa wahenga " ujanja mwingi mbele kiza".
Unaweza ukaoa bikra ukamuweka ndani na akawa anatafunwa na bodaboda bila wewe kujua.
Hoja zako unazijenga kwenye mambo ambayo bikira na asie bikira anaweza kuwa nayo au asiwe nayo. Mpaka sasa hivi sijaona umetaja sifa yoyote ambayo mwanamke alietumika anaweza kuwa nayo wakati ambae bikira hana.

Mimi nitakuambia bikira anakuja kwako na pure emotions, innocense, no traumas and comparisons from past relationship, no baggages, free soul e.t.c.

Hayo yote niliyoyataja haiwezekani ukayapata kutoka kwa mwanamke alietumika, sasa na wewe tupe sifa ambazo utazipata kutoka kwa mwanamke alietumika na hakuna uwezekano ukazipata kutoka kwa mwanamke bikira
 
Heheheheehhe doooh.
Walahi hapa naongea na kijana wa balehe.
Hata mwanamke ambaye hajatumika anaweza kuja na pure emotions, trauma less, innocence and no comparison from past relationships,kwasababu wapo ambao wametolewa bikra wakiwa wadogo kabisa bado hawajakomaa kiakili kwa mahusiano ya kitoto like age of 12-15.
Hawa wanaweza wakaja kwako wakiwa na vitu vyote hivyo,licha ya kuwa sio bikra.
 
Unaropoka na kuzunguka.
Kwahiyo unataka kusema Wanawake wote ambao sio bikra ni sawa na wale wanaojiuza riverside ubungo ambao ni Malaya??
Juu Umeongea vizuri,tizama past side ya mwanamke,Kesha ukaja kuvurunda mwishoni.
Je kama past yake aliolewa mume akafariki?
Je kama past yake aliolewa mume akamtelekeza??
Una generalize vipi kama hivyo?
Je una uhakika gani kama huyo bikra ukimuoa atakupa consistency nzuri ya kinidhamu?
Bahati mbaya hizo exceptions zote ulizozitaja hauwezi kuthibitisha kwa sababu hauijui past yake, kwaiyo usipokuta bikira wewe weka tu blacklist and move on to anaother option
 
Hakuna kitu hicho wewe. Kwamba eti baada ya kukutana na wewe basi kumbukumbu za maex wake wote zimeondoka. Unajidanganya wewe
 
Swali lako limejibiwa sema wewe ndie haujaelewa jibu.
Nimeona hapo umeongelea self awareness. Katika kujua mwanamke anajitambua kuna indicators ambazo unaziangalia maana hauwezi tu kuonana na mwanamke ukamjua hapo hapo.

Indicator moja wapo ni bikira. Kitendo cha mwanamke kuwa bikira maana yake anajitambua na anajua thamani ya mwili wake. Mwanamke ambae ameutunza usichana wake kwa ajiri ya mumewe huyu ndie anaejitambua zaidi ambae ameruhusu wanaume wamfunue bila kumuoa.
Hii comment imenifanya niseme YOU ARE A TEENAGER OR STILL YOU KNOW NOTHING IN SOCIAL ASPECTS.
Msichana kuwa bikra haimaanishi kuwa ana self awareness.
Wapo wasichana ambao wamekeketwa huko Bariadi ambao kiufupi ni emotionless.
Huwa hawanaga hisia wale za mapenzi.
Je kwa kubaki kwa na bikra kisa wako emotionless inajulisha ya kuwa wao wana self awareness!??
Wapo ambao bikra zimewatoka kwa kupitia manyanyaso wakiwa wadogo ya kubakwa,je hao useme kuwa hawana self awareness kisa walibakwa wakiwa wadogo!??

Je mwanamke ambaye kaolewa bikra Kesha ndani ya ndoa akachepuka na kuwa anatoa nyuma ama anachepuka kikawaida utasema huyo ana self awareness!???

Doooh kiddo kiddo kiddo acha u much know.
 
Bahati mbaya hizo exceptions zote ulizozitaja hauwezi kuthibitisha kwa sababu hauijui past yake, kwaiyo usipokuta bikira wewe weka tu blacklist and move on to anaother option
Aya je ukamuoa bikra baadae akakusaliti hilo unalizungumziaje??
 
Ni Jumamosi nyingine tena mamia ya maelfu ya wanaume wajinga duniani kote wanawafanya wanawake used kuwa wake zao kwa sherehe za mamilioni ya pesa.

Wanaume kadhaa walishaichapa bure kabisa na wanajua kuwa she ain't valuable for marriage.

Ila kuna simp leo anamfanya kuwa mke baada ya kuspend millions to marry a non virgin Jumamosi ya leo

Ni siku ambayo mwanamke anayeolewa amewaalika exs zake walioichapa kuja kumuona mjinga akioa malaya wao.

Maex zake watakula na kunywa na kwa unafiki wanampa hug simp na kushake naye mkono wakimwambia "Mkuu hongera sana hapa umepata mke."

Ukumbini mama wa mwanamke anasimama na maiki akimwambia mkwe wake ana bahati kumuoa binti yake hivyo amtunze binti yake na amlinde kama hazina binti ambaye sio bikira, ameshatoa mimba kadhaa na watu wameshajipigia sana.

Baada ya miezi kadhaa ya vikao vya ndoa na usumbufu wa kuombaomba michango, a foolish man anashika maiki anawaambia wageni waalikwa kuwa today he has found his missing rib that will guarantee a good wife.

Ametumia millions kwenye mahari, maandalizi ya harusi, honeymoon na makorokoro mengine kwa mwanamke ambaye wenzake wamemlala bure kwa gharama nafuu kabisa na wala hawakuhitaji kutumia pesa zote hizo anazotumia.

Wengine wanaenda mbali zaidi ukumbini wanapiga hadi french kiss, kinywa kilekile mbacho mwanamke alikitumia kufyonza madushe ya maex wake na ni kinywa kilekile she used to swallow different men's cum.

Na bado siku ya engagement foolish man alimpigia goti mwanamke huyo used (malaya) na kumvalisha pete huku akisema "Please with this ring my love I'm giving you my heart."

The moral of the story: If she slept with other men for free should be offered for free.

Learn or Perish
​
Sawa, ni kweli lakini hainihusu. Tuliooa virgin tupewe maua yetu
 
Ndo maisha yalivo mkuu. Ila hatuna namna maana anaembikiri mwanamke na asimuoe ni huyu huyu mwanamme
 
Unaropoka na kuzunguka.
Kwahiyo unataka kusema Wanawake wote ambao sio bikra ni sawa na wale wanaojiuza riverside ubungo ambao ni Malaya??
Juu Umeongea vizuri,tizama past side ya mwanamke,Kesha ukaja kuvurunda mwishoni.
Je kama past yake aliolewa mume akafariki?
Je kama past yake aliolewa mume akamtelekeza??
Una generalize vipi kama hivyo?
Je una uhakika gani kama huyo bikra ukimuoa atakupa consistency nzuri ya kinidhamu?
Wewe jamaa mbona mgumu sana kuelewa
 
Mwanamke anayebikiriwa kabla ya ndoa amekosa sexual discipline huyo hafai kuwa mke anafaa kwa recreational purpose na sio housewife​
unafikiri tunakupinga kiongozi,ila kwasasa tushaonja utamu wa jang'ombeeee hata hatukuelewi wenzio,tunaolewa tukiwa makonkodi.
 
Shida sio kujifunza.
Shida vijana wenyewe mnawaharibu,kuweni hata na aibu.
Unamtongoza binti huku ukimuwekea masharti kama hakupi uchi basi sio mpenzi wake.
Akishakupa uchi unamchoka na kumuacha.
Angalau kuweni na aibu.
Au hao Wanawake WANAJITOMBA WENYEWE!??
SHAME ON YOU.
sasa mim hapa najiulza tu yakua? Kwanin Mungu atake dhambi tusitende na atupe shetani tena atujaribu tuingie mkenge, afu tena Mungu huyohuyo atuadhibu
 
Hii comment imenifanya niseme YOU ARE A TEENAGER OR STILL YOU KNOW NOTHING IN SOCIAL ASPECTS.
Msichana kuwa bikra haimaanishi kuwa ana self awareness.
Wapo wasichana ambao wamekeketwa huko Bariadi ambao kiufupi ni emotionless.
Huwa hawanaga hisia wale za mapenzi.
Je kwa kubaki kwa na bikra kisa wako emotionless inajulisha ya kuwa wao wana self awareness!??
Wapo ambao bikra zimewatoka kwa kupitia manyanyaso wakiwa wadogo ya kubakwa,je hao useme kuwa hawana self awareness kisa walibakwa wakiwa wadogo!??

Je mwanamke ambaye kaolewa bikra Kesha ndani ya ndoa akachepuka na kuwa anatoa nyuma ama anachepuka kikawaida utasema huyo ana self awareness!???

Doooh kiddo kiddo kiddo acha u much know.
Bado upo pale pale kwenye exception.
 
Back
Top Bottom