Ni Jumatatu nyingine tena, wiki hii yote ni mkeo na office husband wake

Achana na Mpemba huyo, mwanamme anaenda sokoni mwenyewe na mkewe anamfunga pingu miguuni asitoke nje hata siku moja bila yeye.
 
Tuanze kuwa tunaleta mada za jinsi gani tujikwamue kwenye umasikini na siyo mada kama hizi kwa kweli, mtu mweusi anawaza ngono tu muda wote...Ndiyo maana Trump alitutukana sisi na waarabu
Ungeanza kuchunguza hii mada iko jukwaa gani. Kila jukwaa lina mada zake hususa ​
 
Mkuu maeneo ya kazi Dodoma yananuka ngono. Unachosema ni sahihi.

Na kule Dom wake za watu wako huru kuliwa kwa sababu waume zao wako mbali mikoa mingine
​
Dodoma wake za watu watumishi karibu wote au wengi wanaishi kwenye ndoa bubu na wanaume wengine, inatisha sana. Wanaume wengi ambao wake zao wanafanyabkazi Dodoma wanalea watoto wasio wao
 
Malaya wataendelea kuwepo popote, kazini au nyumbani malaya ni malaya huo ndo ukweli.
Hakuna mwanamume anayeamini kuwa mke wake anagongwa nje,wote huwa wanaamini wake zao wako Royal kwao lakini ukweli ni kwamba huo ni uongo.

Nakuona kama una tatizo la kisaikilojia ambalo kwa kitaalamu linaitwa denial of the Truth,una assume tatizo halipo kumbe lipo ili kuupa moyo faraja, kongole
 
Ukikua utayaelewa maisha. For now, unaruhusiwa kuendelea kufikiria minyanduano.
 
hata kahaba si alikuwaga bikra? Au kahaba anazaliwa hana bikra
Mwanamke yoyote asiye bikira hana sexual discipline.

Kwa hiyo mcheza porno, malaya anayejiuza kwa mafungu au mtandaoni na mwanamke asiye bikira hawana tofauti

Wanafanana kwa jambo moja wote hawana bikira kwa sababu hawakuwa na sexual discipline

Kwa hiyo kuoa mwanamke asiye bikira ni sawa na kuoa malaya au mcheza porno
​
 
Mfanyakazi lazima AGONGWE na wafanyakazi wenzake tu,ila wajingawajinga watakwambia INATEGEMEANA NA MKE,ilhali ukisema huyo mkewe SIMU YAKE ifanyiwe sanitisation, itakutwa anagongwagongwa kinoma.
Mapenzi ni ufalaufala tu.
 
Saikolojia umesomea wapi acha mbwembwe boss, JF bana hahaha. Denial of the truth.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…