Usiniulize mimi huu upuuzi wako,kawaulize wanawake wa ukoo wenu..Ukianza na mama ako mzazi.,akikujibu hili swali uje utuandikie hapa.Kwani hili tatizo la wake za watu kuliwa na wanaume wanaofanya nao kazi lipo au halipo?
Basi ponda na hao wanaofanya nao umalaya, kwani wanafanya wenyewe wanawake kwa wanawake??Mimi sipondi wanawake. Naponda Malaya. Mwanamke akiwa malaya hatakiwi kuitwa mwanamke, anatakiwa kuitwa malaya. Wanawake ni maua yetu, tunawapenda sana ila malaya ni malaya.
Mahi πΉπΉKama ili uwe mwanamke ni bikira basi zaidi ya robo tatu duniani ni malaya wakiwemo mama zenu maana haiwzekani kuingia leba bila dudu la yuyu kupita shimo la uzima
Hiyo kuona jinsia ya kike ndio malaya halafu jinsia ME unaiona malaika ndo uliponichefua..!! πInaonekana umesoma haraka ndo maana hukunielewa ukashangaa. Kwani boss, unasapoti Malaya kuwa na hadhi sawa na mwanamke, mwanamama mwenye maadili yake? Kama la basi tupo page moja.
Mkuu,Ukweli ni kwamba wanaume wenye wake wafanyakazi wanatumia muda mchache sana na wake zao hasa siku za kazi tofauti na wafanyakazi wenza wa wake zao.
Wafanyakazi wa kiume wanakuwa na mke wako kutwa nzima kuanzia asubuhi mpaka jioni kwa siku 5 au 6
Kadiri watu wa jinsia tofauti wanavyotumia muda pamoja ndivyo inatengenezwa ile sumaku au bond ya kuanza kuvutiana kimahaba.
Wataanza mdogo mdogo na stori za hapa na pale, kadiri bond inatengenezwa kuna siku wataanza kwenda breakfast au lunch pamoja balaa zaidi safari za kikazi kwenda pamoja.
Wakati fulani inafikia hatua mpaka wanaanza kuelezana mambo ya ndani.
Haishangazi kuona mwanamke mfanyakazi akiwa na mwandani wake kazini tena mwanaume wa kumueleza mambo ya ndani ya ndoa yake.
Kwa wengi walio kwenye hizi kazi za kuajiriwa wanajua mwisho wa siku ni mke wa mtu kuliwa
Kikweli wake za watu wanamegwa sana huko makazini. Wanamegwa mno.
Learn or Perish
Hakikisha una mazoea ya kumla mkeo kila siku asubuhi kabla hajaondoka na jioni akitoka kazini. Hata kama amechoka au anaumwa wewe labua tuu.Ukweli lazima usemwe mkuu, tatizo halikimbiwi. Wewe unafkiri nini kifanyike baharia?
Mkuu, ni rahisi mwanamke kutokuwa malaya kwa kuamua kuliko kuwa malaya kwa kushawishiwa na mwanaume mwanaume malaya akinyimwa hana option zaidi ya kula kwa macho.Basi ponda na hao wanaofanya nao umalaya, kwani wanafanya wenyewe wanawake kwa wanawake??
Hahaha. Ngoja nikuulize ili tupate tofauti ya Me na Ke.Hiyo kuona jinsia ya kike ndio malaya halafu jinsia ME unaiona malaika ndo uliponichefua..!! π
Kwahiyo hakuna malaya wa kiume? Hao wanawake wanajipanda wenyewe?
Na mimi nashangaa mkuu.Aliwe asiliwe atajua mwenyewe cha msingi nisijue tu.
Mimi pia nakula ila sio wake za watu.
Tatizo tunaongea sanaUkweli ni kwamba wanaume wenye wake wafanyakazi wanatumia muda mchache sana na wake zao hasa siku za kazi tofauti na wafanyakazi wenza wa wake zao.
Wafanyakazi wa kiume wanakuwa na mke wako kutwa nzima kuanzia asubuhi mpaka jioni kwa siku 5 au 6
Kadiri watu wa jinsia tofauti wanavyotumia muda pamoja ndivyo inatengenezwa ile sumaku au bond ya kuanza kuvutiana kimahaba.
Wataanza mdogo mdogo na stori za hapa na pale, kadiri bond inatengenezwa kuna siku wataanza kwenda breakfast au lunch pamoja balaa zaidi safari za kikazi kwenda pamoja.
Wakati fulani inafikia hatua mpaka wanaanza kuelezana mambo ya ndani.
Haishangazi kuona mwanamke mfanyakazi akiwa na mwandani wake kazini tena mwanaume wa kumueleza mambo ya ndani ya ndoa yake.
Kwa wengi walio kwenye hizi kazi za kuajiriwa wanajua mwisho wa siku ni mke wa mtu kuliwa
Kikweli wake za watu wanamegwa sana huko makazini. Wanamegwa mno.
Learn or Perish
Hahaha.Kama ili uwe mwanamke ni bikira basi zaidi ya robo tatu duniani ni malaya wakiwemo mama zenu maana haiwzekani kuingia leba bila dudu la yuyu kupita shimo la uzima
Hahaha. Kwamba Xi Jinping haya malalamiko yake yanaambatana na tatizo la akili?Na mimi nashangaa mkuu.
Eti wewe na mke wako mnaishi mnavyojua wenyewe, halafu anakuja mtu analalamikia maisha yenu mnavyoishi nyie wenyewe kwa furaha zenu.
Hapo lazima kutakuwa na tatizo fulani la akili kwa huyo mtu baki anayelalamika.
Leo ofisini nimemaliza kazi mapema sana, nikaanza mvuta mfanyakazi, mchumba wa mtu rest room .. akashituka akaaga chap π π πMbona kasheshe sasa ,inachoma kama pasii.Ngoja ninywe hata konyagi.
Taratibu mkuu na huu umri wa makamo mtatusababishia shambulio la moyo.Leo ofisini nimemaliza kazi mapema sana, nikaanza mvuta mfanyakazi, mchumba wa mtu rest room .. akashituka akaaga chap π π π