Ni kama Bahati vile ila unaweza sema Mungu kampendelea Rais Samia

Waliingia usiku wa manane na silaha zao kale na za kisiasa. JWTZ wakaufyata hivyo BEBERUS WAKATUPORA!!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜©

"Bila "Bandali" ya Bwagamoyo" hii biashara haitoweze kufanyika"
 
"Bila "Bandali" ya Bwagamoyo" hii biashara haitoweze kufanyika"
Mradi unafanyika Lindi na Mtwara! Wewe unaongelea Bandari ya Bagamoyo, Mbona unajitoa ufahamu ndugu?

Naunga mkono Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ila unachosema hapo hakihusiani kabisa na Bandari ya Bagamoyo.
 
Sure maana haya maigizo yamekuwepo tangu enzi ya JK
Sio maigizo wewe acha ushamba na fuatilia Habari kwenye vyombo vya kimataifa! Dunia inahitaji sana gesi unaambiwa Ndo mana thamani na bei ya Nishati hii inazidi kupanda kwa kasi ya kutisha! Sio maigizo!
 
..mradi utakapoanza uzalishaji tutaweza kujua kwa uhakika kama tumepata au tumenoa.
Faida ya mradi inaaza kuonekana taingia mradi unapoanza kutekelezwa!

Wazungu wakianza kumwagika Bongo kwa ujenzi wa huu mradi Real Estate Market iliyokuwa imeshuka kwa Dar, Lindi na Mtwara itaanza kwenda vizuri!

Biashara za kisasa zinazoajiri ajira za uhakika utaanza kuziona tena!

Bank kuu yetu utaanza kuiona ikitunisha zaidi reserve yake ya fedha za kigeni maana dolali zitaingia zaidi nchini.

Kodi ya vifaa vya ujenzi wa mradi huu utatunisha zaidi makusanyo ya TRA.

So hili sio jambo dogo ndugu! Tukomae tu kuingia mikataba mizuri maana ukikamilika mkataba faida ndo zitakuwa nyingi zaidi!
 
Kwa akili yako Kama wametupora iweje sasa waje na kutaka kuanza kufanya mazungumzo ya kuwekeza kwenye hii mali?

Mali ingekuwa yao si wangefanya tu wapendavyo?
 
Viva mabeberu.
Mabeberu ndo wenye hela! Samia akikaa Nao vizuri tutapiga hela zao na tutafaidika sana! Mabeberu wanahitaji Nishati sasa so ni Samia kuweka vizuri timu yake ya majadiliano ili tupige hela za uhakika sasa!
 
Mimi ndiye niliyesema wametupora? Mbona nimekuwekea na ushahidi wa aliyesema hivyo!? Wewe ni NGUMBARU?

Kwa akili yako Kama wametupora iweje sasa waje na kutaka kuanza kufanya mazungumzo ya kuwekeza kwenye hii mali?

Mali ingekuwa yao si wangefanya tu wapendavyo?
 
Mungu hana upendeleo
 
Usicheze na nyota ya Mama,ndio maana huwa napenda tuwe tunaongozwa na Marais Waislam at least wanajua utu na haki na maisha huwa yanakuwa nafuu Sana.
 
Mimi ndiye niliyesema wametupora? Mbona nimekuwekea na ushahidi wa aliyesema hivyo!? Wewe ni NGUMBARU?
Kwa wewe kuweka iyo comment inamaanisha ndo mtazamo wako!

Sasa kati ya mimi na wewe nani Ngumbaru?
 
Usicheze na nyota ya Mama,ndio maana huwa napenda tuwe tunaongozwa na Marais Waislam at least wanajua utu na haki na maisha huwa yanakuwa nafuu Sana.
Ana nyota njema kweli kikubwa aitumie vizuri vizazi na vizazi tuje Kim kumbuka. Hii ni fursa adhimu kweli kwake
 
Uzeni kila kitu, hadi mti uzeni, mkimaliza tuuzeni sisi raia.

Na mjue hivi vitu vilikuwepo vilitunzwa sasa tamaa zimewatawala uzeni.

Huyo makamba ni kichochoro tu watu wapite kirahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…