Ni kama Dotto Biteko kaanza kupewa heshima zaidi ya uwaziri mkuu kuzidi Majaliwa, hii haiwezi kuleta msuguano?

Rais anataka kura za wasukuma.

Rais kagundua kua sio rahisi ku ignore kanda ya ziwa, unatafta matatizo makubwa.

2030 lazima rais atoke huko.
Kwa taarifa yako wasukuma tunajuana kwa mila,desturi na utamaduni wetu,biteko ni mtu wa kanda ya ziwa,lkn sio msukuma.na hana ushawishi kanda ya ziwa.
 
Vilaza hatuja kuelewaa,wekamoo tunyama nyamaa.
 
Kimsingi Baraza la mawaziri limevunjwa wiki iliyopita hiyo akina Jerry slaa wamelamba uwaziri

Majariwa kwasasa kivuli Kuficha yaliyomo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…