Uchaguzi 2020 Ni kama vile Dkt. Mollel wa Siha amekalia kuti kavu, Agrey Mwanri anarejea Jimboni!

Mwanri hajasema chochote baada ya kustaafu. Lazima ataleta komedi tuu tucheke.
 
Wanaboa..boss naomba nikuchek jioni tupeane feedback...huez jua tukawa wa kiNa Laizer[emoji2960]
Hahaha huko hapana
Ila mabos mjini hawatatuweza kwa mpnga
Yule mzee jpili ndy anaingia mjini kutoka kule nlikokwambia,
Umenichekesha mmb ya laizer[emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Rudia kusoma ulicho andika
Ahsante, typing error.Nilikuwa namjibu aliyeuliza Mwanri ni ukabila gani.Jibu language likawa ni Mchaga wa CCM,ambapo tulizoea kusikia CDM ndiyo chama cha Wachaga kwa mujibu wa CCM.
Una nyongeza?
 
Mwanri alikuwa anadanganya live bungeni enzi zile ni naibu waziri. Alikuwa anaongea uongo grade 1 huku katoa jicho zaidi ya Kabudi. Huyu ubunge hafai. Apumzike, ale pension taratibu na atulie na wajukuu
Safari hii anakuja kutema cheche na kushuka na wewe mzima mzima.
 
Je, Viongozi wa Idara ambao ni Wachagga waachie ngazi!??

Kama ulisema kwa dhihaka, nakusamehe, soma hapo juu .. ...... JF link na excerpt hiyo chini!
hao ni 0.000000101010% ya wachaga. Any way thanks kwa mfano huo, Chami ni mchaga wa Marangu ndo akawa msafi eeh? Na Mwanri ni wa Siha, inakuwaje kule Sanya wakafisadi misitu yote na yeye kanyamaza tu, au ndio kulinda heshima ya sirikali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…