Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Ahhaa ndo maana watu wanapenda kwa waganga....hhha akutafuta vismati..Sasa hapa SoMo la kismati na kujituma linapoelewekaHuyu Laizer tunapo elekea anaweza kuokota nyumba, sio kwa favor hiyo...
Ahhaa ndo maana watu wanapenda kwa waganga....hhha akutafuta vismati..Sasa hapa SoMo la kismati na kujituma linapoeleweka
Labda dispensaryAtaenda kutibu Machame hospital!
Kwa mganga ni ubatili mtupu, ukitaka kuenjoy utajiri akubariki Mungu.
Msiha/mchagaMwanri ni kabila gani?
Msiha/mchaga
Cheap politicians can be bought and soldSiasa ni sayansi.
Kustaafu kwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mh. Mwanri siyo habari njema kwa mbunge wa Siha mh Dr Mollel.
Kipingamizi pekee kilichokuwa kinamfunga mh Mwanri kugombea ubunge ni nafasi yake ya ukuu wa mkoa ambayo amestaafu rasmi.
Tusubiri na Tarime vijijini tuone rangi ya CCM.
Maendeleo hayana vyama!
Alafu kuna dili lingine tena kapiga huyo Laizer mtaskia tu kwenye social networks soon Kama wataamua kuweka wazi.
Mwongo na mnafiki wote sawa tu!Mwanri alikuwa anadanganya live bungeni enzi zile ni naibu waziri. Alikuwa anaongea uongo grade 1 huku katoa jicho zaidi ya Kabudi. Huyu ubunge hafai. Apumzike, ale pension taratibu na atulie na wajukuu
MzaramoMwanri ni kabila gani?
Kasimu Majaliwa nimeanza kumsikia baada ya kuteuliwa kuwa PMAliwahi kuwa mbunge wa Siha na naibu waziri Tamisemi akiwa na kasimu Majaliwa
Hao ndio watu wanaotakiwa na watawala kwa maana "uongo unapaswa kuaminiwa kuwa ndio ukweli!"Mwanri alikuwa anadanganya live bungeni enzi zile ni naibu waziri. Alikuwa anaongea uongo grade 1 huku katoa jicho zaidi ya Kabudi. Huyu ubunge hafai. Apumzike, ale pension taratibu na atulie na wajukuu
[emoji23][emoji23][emoji23] JF nyoko walaah
Mzee wa zaidi ya miaka sitiniUkute Mwanri aliomba astaaf ili akagombee ubunge.
Vp mpk Sahv yuko korokoroni auMuda siyo rafiki....... Dr Mollel ataungana na Dr Mashinji hospitali!
Alikuwa naibu waziri wa Tamisemi na Aggrey MwanryKasimu Majaliwa nimeanza kumsikia baada ya kuteuliwa kuwa PM
Huyo ubunge atausikia hewani kwa TVAliyekuwa Mbunge Wa Siha Mkoani Kilimanjaro Godwin Molel amekamatwa na Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa Takukuru katika kata ya orkolili akidaiwa kufanya kampeni akiwa na gari ya serikali
Usiku
Inadaiwa kuwa Mbunge huyo amekuwa akifanya kampeni huku akiwalaghai wajumbe kuwa yeye ametumwa na Rais na yeye ni mteule Wa Rais Rais
Tayari moto umewaka... Ng'ombe alie katwa mkia[emoji16][emoji16][emoji16]
Huko Orkolili ni kwa Wamaasai wenzake.. Alidhani Ccm hawana akili kama yeye.. Hata toboa. Ona na Mzee wa jikune karudi home.. Sasa mtajua ni nani katumwa na Mh. Rais
Kumzidi Trump?Mwanri alikuwa anadanganya live bungeni enzi zile ni naibu waziri. Alikuwa anaongea uongo grade 1 huku katoa jicho zaidi ya Kabudi. Huyu ubunge hafai. Apumzike, ale pension taratibu na atulie na wajukuu