Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Mkuu kwa mfanyabiashara kuishiwa kawaida sana huyo alianza kupotea muda kipindi kile aliposhindwa kuwaletea Simba Jezi zao kwa wakati ni bora hata yeye kanusa Utajiri misingi ya kuipata tena anayo na fursa pia..Kiko wapi sasa? Nasikia hadi range kauza.
Biashara bila ubunifu ni hatari sana,alitakiwa kujiongeza kuuza vitu kutokana na eneo,mfano ukiwa mkoani uza nguo hata za elfu 5 means product utakayotoa china ilenge hivyo lkn ukipita maduka yake yote bei moja wkt watumiaji ni tofautiNilikuwa Mbeya huko nikapita mitaa ile ya SIDO ni kama vile duka la Vunjabei linapumulia mashine, halina mzunguko wa biashara kivile.
Jana nimepita Iringa napo naona lile duka alilolifungua kwa mbwembwe nalo lishajifia na kufungwa muda tu.
Hapo Dar duka lake la Sinza nalo linapumulia mashine.
Ni kama vile jamaa kaanza kufilisika mdogo mdogo.
Nimeambatanisha picha za duka lake la Iringa lililofungwa.
View attachment 3088613
Ugonjwa umeenda mpaka kwa jirani zakeNilikuwa Mbeya huko nikapita mitaa ile ya SIDO ni kama vile duka la Vunjabei linapumulia mashine, halina mzunguko wa biashara kivile.
Jana nimepita Iringa napo naona lile duka alilolifungua kwa mbwembwe nalo lishajifia na kufungwa muda tu.
Hapo Dar duka lake la Sinza nalo linapumulia mashine.
Ni kama vile jamaa kaanza kufilisika mdogo mdogo.
Nimeambatanisha picha za duka lake la Iringa lililofungwa.
View attachment 3088613
Teh teh kupambania vidosho na Domo sio kazi rahisi hasa Ukiwa Mshamba uliye kuja mjini juzi na Mwenge umebeba fuko lako la fedha uliopata baada ya kuuza miti ya mbao.Nilikuwa Mbeya huko nikapita mitaa ile ya SIDO ni kama vile duka la Vunjabei linapumulia mashine, halina mzunguko wa biashara kivile.
Jana nimepita Iringa napo naona lile duka alilolifungua kwa mbwembwe nalo lishajifia na kufungwa muda tu.
Hapo Dar duka lake la Sinza nalo linapumulia mashine.
Ni kama vile jamaa kaanza kufilisika mdogo mdogo.
Nimeambatanisha picha za duka lake la Iringa lililofungwa.
View attachment 3088613
Wengi ni wanafiki. Kufilisika kwa Vunjabei ni pigo hadi kwa serikali upande wa kodi.Bora umeongea point.watu humu wanajifanya wazungu kwamba hawafuatilii maisha ya watu.
Mtu Kama vunja Bei ni mfanya biashara mkubwa na ni role model wa wengi...
tunajifunza kupitia kwake Sasa kwa Nini asijadiliwe.?
Ahahahah mkuu na wewe kiduka chako bado kinakusumbua?? πππ.Mtu mweusi na mambo ya uchumi wapi na wapi. Wazungu na uchumi wao wanazungumzia kukua na kushuka kwa biashara, wanajadili kuhusu inflation, kufirisika, kufa kwa kampuni, bailout, mergers and acquisition.
Sasa mweusi mwenzako akiuliza kwa muelekeo uleule unasema roho ya mtu mweusi. Wahindi, Waarabu, Wachina huwa hawajadili biashara. Au unataka weusi wasifie tu ila wasihoji, sasa si ujiuzie mwenyewe chumbani kwako. Kufungua uite media, mwenendo usiulizwe.
Nalo neno, kuna wakat mwingine mfanya biashara anaweza akawa ana withdraw pesa toka kwenye biashara moja ana inject kwenye biashara nyingine.. hii attempt ni HATAR SANA, narudia tena ni hatar sanaaa, maana usupokua makin unaweza withdraw significant amount ambayo ikashindwa kurud kwa wakat au kama vile ulitegemea, na hali ikawa mbaya mbaya sanaKwamba hafanyi biashara au issues nyingine zaidi ya biashara ya ulanguzi nguo?
Kuna mdogo wa mshkaji wangu pale ni casheerNumenunua suruali dukani kwa vunjabei Iringa miezi miwili iliyopita. Kafunga lini hilo duka?
Kuna mdogo wa mshkaji wangu pale ni casheerNumenunua suruali dukani kwa vunjabei Iringa miezi miwili iliyopita. Kafunga lini hilo duka?
Kiduka cha nini?Ahahahah mkuu na wewe kiduka chako bado kinakusumbua?? πππ.
Kuna mahala ulishaeleza kuhusu hilinkwenye ule uzi wa frame wa bwana matunduizi ππ
Ni moja ya hatua za biashara yoyote..kuna wakati zinaugua na zinakufa pia..labda said zinasinzia tu mana hilo eneo wapo wanaomkimbiza kimya kimya kama MNADANI KWA JEMBE nkNilikuwa Mbeya huko nikapita mitaa ile ya SIDO ni kama vile duka la Vunjabei linapumulia mashine, halina mzunguko wa biashara kivile.
Jana nimepita Iringa napo naona lile duka alilolifungua kwa mbwembwe nalo lishajifia na kufungwa muda tu.
Hapo Dar duka lake la Sinza nalo linapumulia mashine.
Ni kama vile jamaa kaanza kufilisika mdogo mdogo.
Nimeambatanisha picha za duka lake la Iringa lililofungwa.
View attachment 3088613
Sasa mkuu hapo kwa Code hii Kuna watu wa maeneo hayo au waliowahi kuishi hapo si watakuwa wanamjua! Huoni Kama unakuwa unamdhalilisha?Dah hiyo picha imenikumbusha mbali sana. Upande wa kushoto wa hilo duka kuna nyumba mbele ina salon, kuna dada mmoja hapo mweupe ana tako la maana anaitwa Mwa... nilimgonga mwaka flan nikiwa safarin iringa kipindi sijabadil mfumo wa maisha yangu. Alikua mtamu sana.. Hakika ya dunia yanapita.
NB
Nisamehe mleta mada mimi kujadil mambo ya watu sipendi ,naona ni kama umbea na mimi siku hiz nimeokoka. Bora niongelee yangu ninayo yajua kuliko ya wengine ya ku hisi hisi. Huo ni usengenyaji na biblia imekataza