Ni kama vile Vunjabei anaelekea kufilisika

Sasa mkuu hapo kwa Code hii Kuna watu wa maeneo hayo au waliowahi kuishi hapo si watakuwa wanamjua! Huoni Kama unakuwa unamdhalilisha?
Hamna ni miaka mingi sidhan kama bado atakuepo hapo. Lakin pia wakimjua sio tatizo kwasababu mimi hawanijui.
 
Ila biashara πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ. Kuna kipindi ilinikataa ikaniletea msongo wa mawazo Sina hamu. Ni vile tu sikuwa na alternative ikabidi nikaze tu.
 
Wanawake ,bata na pesa hazikai nyumba mojaa

Amuulize MO na GSM Rostum wamefanikiwa kwanini

Mengi alijitafuta akajipataa ndio akaanza kuponda raha
 
Jiulize swali jepesi hapo,alitoa wapi mtaji wa kufungua maduka aliyofunga kwa sasa?,
what if kama anawekeza sehemu nyingine kwa vitu visivyo hamishika?,
vipi kama ana makampuni zaidi ya hiyo unayofahamu na ndo inaleta mkwanja mzuri zaidi?
 
Ila biashara πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ. Kuna kipindi ilinikataa ikaniletea msongo wa mawazo Sina hamu. Ni vile tu sikuwa na alternative ikabidi nikaze tu.
if being strong is the only option you have, you will strive to endure.
Biashara ni rahis sana katika kuoiga story kuihusu, ila ingia kwenye game ndio utaijua vizuri.
Na hapa tunazungumzia biashara halali achana na hiz za kimagumuashi za hawa matajiri wakubwaa ambao wana ma backup ya serikali na umafia ndani.

Biashara halali kabisa yenye kufuata uadilifu bila kona kona, ni ngoma nzito , no wonder watu huwa wanakimbilia kwa waganga na ku apply uchawi
 
Hili kosa nililifanya sana wakati ndo nachipukia. Nilikuja kuacha baada ya kujikuta sina kitu na madeni kibao. Kwa sasa nimekuwa mgumu mno kuanzisha kitu kipya. Nikianzisha ni baada ya kufanya utafiti hata zaidi ya mwaka.
 
I was reffering to this!.
View attachment 3089339
Nimefanya mambo mengi so sikujua unasema lipi. Nimeingia kwenye biashara kabla ya graduation ya chuo. So nilijiunga ajiraportal kwa mkumbo ila lengo lilikuwa kuanzisha biashara na kutafuta ajira serikalini.

Nikazunguka nikatulia na hii ya sasa nayo imekuwa kichaa mara supplier achelewe deadline ya shipping, mara meli ipite transit, mara berth ichelewe, mara mzigo upotee. Nikarudia zangu ajiraportal ndio kwanza nimeomba kazi moja. Mara nyingi sikai ofisini kuna mtu.

Enhe, vipi wewe bado unafokea graduates ukisema hawanyenyekei?
 
Bwana ako anajua kazi uliyojipa?
 
Wewe unafikiri hayo maduka ya frames ndo yanamfanya jamaa awe alivyo....Watu wako mbali sana..
 
Jinsi gani umefurahi
 
Hili kosa nililifanya sana wakati ndo nachipukia. Nilikuja kuacha baada ya kujikuta sina kitu na madeni kibao. Kwa sasa nimekuwa mgumu mno kuanzisha kitu kipya. Nikianzisha ni baada ya kufanya utafiti hata zaidi ya mwaka.
Ni kwasababu ukishaingia kwenye ujasriamali, unajikuta tubmara nyingi circle yako ninya watu wa aina hiyo wanao dealnna mambo tofaut tofaut. So kushauriana au kuhasishana kuingia kwenye biashara nyingine ni rahis sanaa na hapo mdipo mistakes hutokea. Zipo mara chavhe bahat hujitokeza ukaingia kwenye biashara nyingine hata huijui vizuri ila umeshawishiwa tu na wewe pesa ipo ukaamua kuanza na ukajikuta umepasua ile mbaya. Sema sasa hiz huwa nadra sana.. ni vyema ku stick kwenye jambo ukalijua vizur
 
Nimekusoma hapo chief.. all the best
Enhe, vipi wewe bado unafokea graduates ukisema hawanyenyekei?
Aahhhh mkuu acha kabisaa, biashara hiz ni hectic ndugu yangu unafikir watu wanapenda bas kufokea watu?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Inatokea tu πŸ˜†
 
Na ukianza kujihusisha na waganga tu umeshajichanganya....waganga ni waongo tu wataanza kukupa maagizo ya kipuuzi puuzi tu Hadi ufilisike.
 
Tatizo linaanzia pale unapofanikiwa kupost kila kitu unachukua mademu wakali unakula Bata sasa walio wengi uchumi ukiyumba au dalili hizo mitandaoni hawaonekani kwa hiyo viewers wanaanza kuhoji, ni sawa na kaka yangu mwigulu kupenda kumpost mtoto wake mwisho watu wakasema "DOGO ANAKULA DOLLAR ZETU" ikabidi waziri ajitokeze na kukanusha lakini asingepost yasingetokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…