Tea Party
JF-Expert Member
- Oct 5, 2019
- 524
- 1,168
Nauliza tu maana nilishawahi kufanya kazi kama mtangazaji kwenye redio moja ya mkoani
Lakini weee hakuna rangi niliacha kuona
Tulikaa miezi 6 hatujalipwa alafu Boss anakuambia "Bro, hapa tunakupa platform ukue, jina likiwa kubwa utapiga hela."
Tatizo ni kwamba hiyo platform haiwezi kulipa kodi ya nyumba, haileti chakula mezani, wala hainunui bando.
Alafu kuna ile ya nyie watangazaji ndo mnatakiwa mlete matangazo alafu unapewa Percent. Kwa hiyo unatakiwa kuanza kujenga urafiki na Brands mbalimbali ili umpelekee boss tangazo
Kwa kweli ni field ambayo ni ngumu sana wakati unaanza na sishauri mtu aende akasome hiyo fani
Karibu