Ni kazi gani watu wanadhani ina hela lakini kwa ground ni 'Msoto Mtupu'?

Ni kazi gani watu wanadhani ina hela lakini kwa ground ni 'Msoto Mtupu'?

Maisha ni connection aiseeee sheria mbona sister angu ana law firm yake na sijaona akipata MSOTO wowote

Sema wengi wetu hatunaga watu wa kutucholea ramani... Ukiwa na connection sahihi Kila kitu kitakua powaaa easy
Wapo watu wachache kwa bahati Tu wanapiga Mchongo wa Maana, kuna Mawakili wako serikalini Wana hela Sana, usiniulize walizipataje
 
Kwaio Yale majumba mandinga na mapamba yote ni illusion. Nilisikiliza salehe classic akimkandia boss wake zamaradi TV

Kwaio media private wanazo lipa itakua TBC na AZAM MEDIA

Naona bwana almasi wasafi imemshinda tayar
Mimi nafanya kazi kwenye media ni kilio ni wachache sana asilia 0.5 kati ya 100 wanafurahia kazi hii kiuchumi tz
 
Kwani GHARIB MZINGA anasemaje..?

Uandishi wa habari hapa kwetu hauna matajiri kama Bakhresa, Mo Dewji, GSM na anga hilo.

Ila wapo waandishi waliofanikiwa kama Mzee wetu Tido Mhando, Kaka zetu akina Saleh Ally, Shaffih Dauda & Millard Ayo.

Ukitoa kundi hilo kuna Waandishi ambao bado wapo Newsroom ambao wana mizigo mikubwa ingawa hawajioneshi.

Nawataja 10 tu wa Sample.

1- James Samwel - (Hakosi Milioni 52)
2- Baraka Mpenja - (Hakosi Milioni 43)
3- Ramadhan Ngoda - (Akiuza Crown yake hakosi Milioni 16).
4- Charles Abel - (Hakosi Milioni 19)
5- Hans Raphael - (Hakosi Milioni 33)
6- Farhan Kihamu - (Hakosi Milioni 30)
7- Heavyweight Dula - (Hakosi Milioni 15)
8- James Tupatupa - (Hakosi Milioni 27)
9- Nazareth Upete - (Hakosi laki 7)
10- Jeff Leah - (Hakosi Milioni 4

Huyo ni Gharib Mzinga.
 
Jeff 😆
 
Back
Top Bottom