Ni kazi gani watu wanadhani ina hela lakini kwa ground ni 'Msoto Mtupu'?

The same to me nilisikiliza ile interview aiseeee dogo alimwaga ugali na mboga ya zamaradi

Noma sanaa watu tunawaona kwa luninga kumbe in real maisha ni magumu kwa ground
Tatizo Zamaradi ni dhulumati sana ,anataka mambo makubwa halafu kipato NEI ,nimemsikiliza yule Dogo inahudhunisha sana! Haiwezekani kila mtu amlalamikie zama kwa utapeli.

Bora alivyoenda MBELE kutafuta maisha....Dogo amapambana kaleta dili la milioni 30 hajaambulia hata mia.
 
Atakuwa alifundishwa na yule Marehemu wa kule migombani ambapo Nduli alipagawa akataka kujimilikisha maji yote yawe yake.

Kama jamaa alivyokuwa akiwanyoosha wasanii enzi zake, na yeye ananyoosha wafanyakazi wake
 
Tatizo Zamaradi ni dhulumati sana ,anataka mambo makubwa halafu kipato NEI ,nimemsikiliza yule Dogo inahudhunisha sana! Haiwezekani kila mtu amlalamikie zama kwa utapeli.

Bora alivyoenda MBELE kutafuta maisha....Dogo amapambana kaleta dili la milioni 30 hajaambulia hata mia.
Dogo ndie alikua anafanya zamaradi tv ipendwe.

Hakika akapewa mkopo wa gari wakatane aiseee zama ni mtu mbadi noma sanaaa
 
Bongo movie, malipo hua chakula tu na nauli Hadi upate jina.. mziki una msoto sio kitoto ndo mana wanauza roho, walimu wa primary za msingi nao dah kazi ya wito. Mtendaji wa mtaa, MKiti kifupi level ya kata bila ujanja ujanja utasaza.
Waalimu wa primary za msingi? Waalimu wana unafuu wa maisha kulinganisha na fani nyingi.
 
Mkiwa mnajadili tofautisheni mshahara na kipato.

Kuna mtu ana mshahara wa 1M na allowance 250K.

Kuna mtu ana mshahara wa 800K na allowances za 2M.

Ni kama huyo aliyesema WEO na VEO wana mshahara uchwara. Ambacho hajui kuna WEO ana kipato ambacho MD wa miaka 4 kazini hagusi.

Wenyeviti wa serikali za mitaa hawalipwi lakini kuna halmashauri zinalipa wenyeviti wake kwakua zina makusanyo makubwa. Unadhani WEO wa hapo kipato chake ni tia maji tia maji?
 
Hakuna halimashauri inalipa mwenyekiti nchi hii

Zaidi ya kiinua mgongo cha miaka 5 ya utumishi wake kwa mtaa, nadhani uwa ni 5m
 
Maisha ni connection aiseeee sheria mbona sister angu ana law firm yake na sijaona akipata MSOTO wowote

Sema wengi wetu hatunaga watu wa kutucholea ramani... Ukiwa na connection sahihi Kila kitu kitakua powaaa easy
Uzur ni mwanamke,hujui kamwaga jasho kiasi gani hadi leo unaona hapitii msoto...
Kiufupi...siku hiyo hakulala na nguo
 
Mkiwa mnajadili tofautisheni mshahara na kipato.

Kuna mtu ana mshahara wa 1M na allowance 250K.

Kuna mtu ana mshahara wa 800K na allowances za 2M.

Ni kama huyo aliyesema WEO na VEO wana mshahara uchwara. Ambacho hajui kuna WEO ana kipato ambacho MD wa miaka 4 kazini hagusi.

Wenyeviti wa serikali za mitaa hawalipwi lakini kuna halmashauri zinalipa wenyeviti wake kwakua zina makusanyo makubwa. Unadhani WEO wa hapo kipato chake ni tia maji tia maji?
Kuna mtu humu kawataja wanajeshi sijui alikuwa anawalinganisha na nani
 
Back
Top Bottom