Ni kazi gani watu wanadhani ina hela lakini kwa ground ni 'Msoto Mtupu'?

Ni kazi gani watu wanadhani ina hela lakini kwa ground ni 'Msoto Mtupu'?

Maisha ni connection aiseeee sheria mbona sister angu ana law firm yake na sijaona akipata MSOTO wowote

Sema wengi wetu hatunaga watu wa kutucholea ramani... Ukiwa na connection sahihi Kila kitu kitakua powaaa easy

Sheria ana isikia tu, labda iwe mzembe ila kama uko smart huwezi kulala njaa
 
Sema kibongo bongo apa..mtu yupo radhi umlipe ata laki 4 but kama anauehakika wa kupata buku tani Tano kwa namn yet Ile kweny iyo mishe kil siku zakuopoza ukali wa maisha..anapita nayo
 
Back
Top Bottom