Hao waone wanapiga perepeche redioni tu wengi wanafanya kazi bila hata mkataba wa kazi. Wanalipwa siku boss akijisikia.Nauliza tu maana nilishawahi kufanya kazi kama mtangazaji kwenye redio moja ya mkoani
Lakini weee hakuna rangi niliacha kuona
Tulikaa miezi 6 hatujalipwa alafu Boss anakuambia "Bro, hapa tunakupa platform ukue, jina likiwa kubwa utapiga hela."
Tatizo ni kwamba hiyo platform haiwezi kulipa kodi ya nyumba, haileti chakula mezani, wala hainunui bando.
Alafu kuna ile ya nyie watangazaji ndo mnatakiwa mlete matangazo alafu unapewa Percent. Kwa hiyo unatakiwa kuanza kujenga urafiki na Brands mbalimbali ili umpelekee boss tangazo
Kwa kweli ni field ambayo ni ngumu sana wakati unaanza na sishauri mtu aende akasome hiyo fani
Karibu
Hao waone wanapiga perepeche redioni tu wengi wanafanya kazi bila hata mkataba wa kazi. Wanalipwa siku boss akijisikia.
Kazi kwenye Media hata mahouse maid wana afadhali wana uhakika wa kula kila siku.Nauliza tu maana nilishawahi kufanya kazi kama mtangazaji kwenye redio moja ya mkoani
Lakini weee hakuna rangi niliacha kuona
Tulikaa miezi 6 hatujalipwa alafu Boss anakuambia "Bro, hapa tunakupa platform ukue, jina likiwa kubwa utapiga hela."
Tatizo ni kwamba hiyo platform haiwezi kulipa kodi ya nyumba, haileti chakula mezani, wala hainunui bando.
Alafu kuna ile ya nyie watangazaji ndo mnatakiwa mlete matangazo alafu unapewa Percent. Kwa hiyo unatakiwa kuanza kujenga urafiki na Brands mbalimbali ili umpelekee boss tangazo
Kwa kweli ni field ambayo ni ngumu sana wakati unaanza na sishauri mtu aende akasome hiyo fani
Karibu
100%Wanajeshi
Udaktari huu utengweUganga wa binadamu kama hautumii kilinge
Lectures wapi Hawa wa chuo vikuu au lectures gani hao mkuuHata ma lecturers hakuna kitu ,
Mwanasheria, wengi wanasota mtaani.Udaktari huu utengwe
Lectures wapi Hawa wa chuo vikuu au lecturesHata ma lecturers hakuna kitu ,
Ndy hvy MD Sasa hivi ni kitu cha kawaida sio kama zamani walikuwa wachache Sasa hivi nao wapo wa kutohsaKwasasa bongo MD haeshimiki na hana hela kama watu wanavyo dhani
The same to me nilisikiliza ile interview aiseeee dogo alimwaga ugali na mboga ya zamaradiNilishtuka sana majuzi kuona yule aliyekuwa mtangazaji maarufu wa zamaradi TV eti alikuwa analipwa laki tano tena inayokatwa Kodi za serikali.
Maisha ni connection aiseeee sheria mbona sister angu ana law firm yake na sijaona akipata MSOTO wowoteMwanasheria, wengi wanasota mtaani.
Acha tu ,wewe ulikuwa huoni NJAA nyingi pale ,akienda kurecord mahojiano na mtu lazima apike wale.Nilishtuka sana majuzi kuona yule aliyekuwa mtangazaji maarufu wa zamaradi TV eti alikuwa analipwa laki tano tena inayokatwa Kodi za serikali.