The mission 2017 JF-Expert Member Joined Aug 14, 2017 Posts 6,498 Reaction score 14,946 Sep 23, 2026 #61 Dr am 4 real PhD said: Maisha ni connection aiseeee sheria mbona sister angu ana law firm yake na sijaona akipata MSOTO wowote Sema wengi wetu hatunaga watu wa kutucholea ramani... Ukiwa na connection sahihi Kila kitu kitakua powaaa easy Click to expand... Sheria ana isikia tu, labda iwe mzembe ila kama uko smart huwezi kulala njaa
Dr am 4 real PhD said: Maisha ni connection aiseeee sheria mbona sister angu ana law firm yake na sijaona akipata MSOTO wowote Sema wengi wetu hatunaga watu wa kutucholea ramani... Ukiwa na connection sahihi Kila kitu kitakua powaaa easy Click to expand... Sheria ana isikia tu, labda iwe mzembe ila kama uko smart huwezi kulala njaa
alman shamteez New Member Joined Jul 26, 2026 Posts 4 Reaction score 0 Sep 27, 2026 #62 Sema kibongo bongo apa..mtu yupo radhi umlipe ata laki 4 but kama anauehakika wa kupata buku tani Tano kwa namn yet Ile kweny iyo mishe kil siku zakuopoza ukali wa maisha..anapita nayo
Sema kibongo bongo apa..mtu yupo radhi umlipe ata laki 4 but kama anauehakika wa kupata buku tani Tano kwa namn yet Ile kweny iyo mishe kil siku zakuopoza ukali wa maisha..anapita nayo