Ni kazi sana kuikagua kampuni inayochimba madini au mafuta endapo muda wa kugawana faida umefika au bado.

Kwa nchi kama hii ya waoga waoga hata kwenye haki zao,..! Sioni La ajabu hapo!

Kwani mtu wa serikali anaye monitor mauzo yote yatokanayo na madini hayo hatuna? Au tuliingia makubaliano ya kumwamini mwekezaji atatupatia ikitokea amepata faida?
 
Strong room za BoT zilitakiwa ziwe zimejaa Dhahabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…